Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
- Thread starter
- #61
Wewe chawa Uriria kwa taarifa yako leo kwenye kongamano la nishati pale JKCC Maharage ameambiwa asifike. Soma thread hii hapa:Acheni mihemko maelezo ya Tanesco yamejitosheleza achenini uzushi.
Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu
***** safi sana! Unakaaje high table wakati mtaani hakuna umeme😀
Endelea kumtetea ila kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha