Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

Hahaha [emoji1787][emoji23] mna haha kama ubwa!!! Makamba kasepa zake. Nchi bado aina umeme saa 16 kwa maeneo ya leo nilipo kuwepo
 
sasa hivi 30-45 % ya umeme unazalishwa unapotea kwa sababu ya uchakavu wa njia ya kusafirishia umeme. Tutakuwa pale pale
Hilo swala la uchakavu limezungumziwa muda mrefu na tuliambiwa baada ya makamba kuwa waziri wanafanya ukarabati . Tatizo kutakuwa jingine.
 
Anayeteua Mkurugenzi wa TANESCO na Mwenyekiti wa Bodi ni Rais na ndiye mwenye mamlaka ya kuivunja hiyo Bodi. Naibu Waziri Mkuu unamuonea tu.
 
Mkuuunajua kazi ya bodi kweli? Nina mashaka
 
Hilo swala la uchakavu limezungumziwa muda mrefu na tuliambiwa baada ya makamba kuwa waziri wanafanya ukarabati . Tatizo kutakuwa jingine.
Mkuu umeme ulifikishwa Mara kwa grid ya taifa 1986 WEWE sijui ulikuwa wapi; Kama wewe umukomaa hivyo, hizo nyaya zina hali gani?
 
Yaani kama kuna instituution ambayo ni bogus ni TANESCO.
 
Wako Watu wanasema Sema Eti Mh Maharage aondolewe Tanesco, sasa unajiuliza bosi wake Waziri Makamba kaongezewa hadhi kwa kuteuliwa Wizara nyeti zaidi sasa why Maharage aondolewe?

Mwacheni achape Kazi na matokeo ya Kazi zake tutayapima mbeleni.

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
 
Mwenyew nashangaa 😂😂aondolewa kwasababu gan? Wakat wote ni ukoo wa panya hakuna msafi!! Nashaur apewe kitengo kingine kuliko aondolewa maan hakuna msafi humo!!
 
Hadhi Mambo ya Nje? Kuzidi Nishati?? You are joking
 
Kwann amwombe Rais wakati Yeye ni Naibu waziri mkuu?

Magu akiwa waziri tu wa ujenzi aliwatimua bodi karibu yote,

Ifike Mahali Mawaziri wawe huru na watumie mamlaka Yao.
 
Mkuu umeme ulifikishwa Mara kwa grid ya taifa 1986 WEWE sijui ulikuwa wapi; Kama wewe umukomaa hivyo, hizo nyaya zina hali gani?
Mkuu usitetee uzembe obvious.Ukarabati ni jambo continuous,kwa hiyo huwezi leo kumuambia Mtanzania hana umeme kwa kuwa eti nyaya ziliwekwa 1989.Zilitakiwa ziwe zimeshaondolewa na kuweka zingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…