Wewe chawa Uriria kwa taarifa yako leo kwenye kongamano la nishati pale JKCC Maharage ameambiwa asifike. Soma thread hii hapa:Acheni mihemko maelezo ya Tanesco yamejitosheleza achenini uzushi.
Sawa tuu lakini umeme uwakeKwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna upungufu wa umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
Watanzania hawataki hizi siasa za kuteua bodi mpya kila siku wanataka umeme.Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna upungufu wa umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
Hana uwezo wowote wa kufanya reform yule asingepiga mbiu Kila siku badala ya kujifungia na watendaji wa wizara kuchora plan ya kuondoa tatizo bila maneno mengi.Biteko mpaka kupelekwa elewa kuwa kaenda na maagizo rasmi. Agizo alilopewa ni moja tu, Watanzania wanataka umeme, nenda kahakikishe wanapata umeme, sasa atafanya nini au nini ni juu yake.
Sisi tunachotaka ni umeme, tutegemee Reforms and Rebuilding za nguvu.
It's obvious hawa walitakiwa kuondolewa pale na kuwekwa wapya watakoendana na huyu waziri mpya mwenye hadhi ya unaibu waziri mkuu.Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna upungufu wa umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
Umesema kweli nduguWatanzania hawataki hizi siasa za kuteua bodi mpya kila siku wanataka umeme.
Nishati ya umeme inahitaji ubunifu mkubwa sana, kuna ongezeko la watu kila kukicha.
Huu sio muda wa porojo ni muda wa umeme kupatikana.
Nishati, Tamisemi ndo Wizara izo mzee Wote Budget zao ni above 3T nishati akiwa na 3.1 Trillion na Tamisemi ni 3.4 TrillionWako Watu wanasema Sema Eti Mh Maharage aondolewe Tanesco, sasa unajiuliza bosi wake Waziri Makamba kaongezewa hadhi kwa kuteuliwa Wizara nyeti zaidi sasa why Maharage aondolewe?
Mwacheni achape Kazi na matokeo ya Kazi zake tutayapima mbeleni.
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi [emoji1]
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
Wewe ni kirusi live!Mawazo yanazalisha megawati ngapi?
Kwa uchumi upi (nchi) na kwa mapato ya bei ya chini hii tunayolipa kwa TANESCO?Mkuu usitetee uzembe obvious.Ukarabati ni jambo continuous,kwa hiyo huwezi leo kumuambia Mtanzania hana umeme kwa kuwa eti nyaya ziliwekwa 1989.Zilitakiwa ziwe zimeshaondolewa na kuweka zingine!
Stupid comment.We know what CCM and its gkovernment is doing,kama hujui,ni wewe.Kwa nini Kinyerezi IV imesimamishwa?Unajua?Kwa nini tunapanga kununua umeme from a private Company,why?Upigaji mtupu.CCM ina haha kutafuta hela za uchaguzi wa 2025 through dubios means because they know it will a tough election, kwa sababu ya mambo mengi ya kijinga wanayofanya.Samias' government is infact a replica of Kikwete's government.Hakuna sababu yeyote ya mlsingi ya kuwa na huu mgao wa umeme.Kwa uchumi upi (nchi) na kwa mapato ya bei ya chini hii tunayolipa kwa TANESCO?
Mkuu huna ushahidi wowote to support you comment- this just an opinion from a much know senseless activistStupid comment.We know what CCM and its gkovernment is doing,kama hujui,ni wewe.Kwa nini Kinyerezi IV imesimamishwa?Unajua?Kwa nini tunapanga kununua umeme from a private Company,why?Upigaji mtupu.CCM ina haha kutafuta hela za uchaguzi wa 2025 through dubios means because they know it will a tough election, kwa sababu ya mambo mengi ya kijinga wanayofanya.Samias' government is infact a replica of Kikwete's government.Hakuna sababu yeyote ya mlsingi ya kuwa na huu mgao wa umeme.
Naomba ufuatilie kama Kinyerezi 1V inafanya kazi halafu ulete taarifa.Fuatilia pia kama TANESCO hawana mpango wa kununua umeme from a private company located in Mtwara.Mwisho comment on what Samia has done since she came to power,does she really have any chances of being elected in a fair election!If the answer is no,in such a situation,what would CCM do to make sure that Samia is elected.Mkuu huna ushahidi wowote to support you comment- this just an opinion from a much know senseless activist
You cannot move me an inch with your Vijiwe Vya Kahawa-based argument. Do you know how much CCM is worth? Let me assume that you are right. How much is going to be generated from the Mtwara IP contract? Can't CCM single-handedly raise excessive amounts from its project and the subsidies it gets from the government?Naomba ufuatilie kama Kinyerezi 1V inafanya kazi halafu ulete taarifa.Fuatilia pia kama TANESCO hawana mpango wa kununua umeme from a private company located in Mtwara.Mwisho comment on what Samia has done since she came to power,does she really have any chances of being elected in a fair election!If the answer is no,in such a situation,what would CCM do to make sure that Samia is elected.
Brother even circumstantial evidence, without any evidence on the ground indicates that their is something fishy going on.This government cannot be trusted for anything.
Lete taarifa authentic mkuu,mimi nimeleta hoja,zipinge hoja zangu kwa hoja,sio maneno matupu.You cannot move me an inch with your Vijiwe Vya Kahawa-based argument. Do you know how much CCM is worth? Let me assume that you are right. How much is going to be generated from the Mtwara IP contract? Can't CCM single-handedly raise excessive amounts from its project and the subsidies it gets from the government?
Mkuu tafuta forum zingine za kijinga kusambaza ujinga unaojaribu kusambaza