Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

Lete taarifa authentic mkuu,mimi nimeleta hoja,zipinge hoja zangu kwa hoja,sio maneno matupu.

Eti how much CCM is worth,to me it is worth nothing,labda ujinga wa DP World!
worth is not an idea- abstract idea

What does worth meaning mean?


the monetary value of

The noun worth refers to the monetary value of something. If your grandmother gives you a strange old coin from her collection, you can have it appraised to determine its worth. The noun worth also means the inherent value of something based on the qualities of excellence, usefulness or importance.
 
I believe you know what I imply,message sent na bado nadai facts,not empty words.
 
 
Hatimaye Zuhra Yunus amewelka PDF kama one hour ago.

Wote tuliochangia huu uzi wangu tujipongeze. Viongozi wanasoma na wanachukua hatua.
 
Kishatolewa sasa, sijui ndugu Bursar utasemaje. Usiichukulie poa JF
 
Wala hakuna tatizo maana inaonesha MD wa Sasa bwana Chande aliletwa na Makamba hivyo basi hata Dotto Yuko sawa kuja na MD wake
 
Sasa hivi 30-45 % ya umeme unazalishwa unapotea kwa sababu ya uchakavu wa njia ya kusafirishia umeme. Tutakuwa pale pale
Hii 30-45% ya power loss umeitoa wapi wewe mtu? Je unaweza kuleta ushahidi hapa jukwaani?
 
WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

Rais apunguze kuziba masikio 😕
 
Nahisi hawa walikuwa wanaletwa na Mzee Msatafu wa Msoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…