Ushauri kwa Waziri Mkuu: Aliechangisha milioni 37 za maafa asidhuriwe na sheria serikali imuajiri kwenye kamati ya maafa ana uwezo wa kuhamasisha

Alisema watu walifika kama sijakosea zaidi ya laki 1, na hata 500tshs na 1,000tshs zilikuwemo yeye kunoti alisema akishukuru kuaminiwa. Hata kesho ataweza tu, hard working girl.
Yes watu elf 50 kila mtu buku ni milioni 50 hiyo. Na wana ligi yao kule insta kukomoa celebrity mwenye ugomvi na celebrity wao! So sishangai 37 m sio kitu.

Japo nadhani serikali ipo sahihi. Maana kila mtu akianza kuchanga inakua vigumu ku-account.
 
Ameandaa namba ya simu na muamala kisha kaweka tangazo mtandaoni kwenye simu na kazi ikaanza.

Ila yasemwa kuwa ni bank na kampuni ya simu ndo waloshtukia mchezo.

Hakuna mchezo kila kitu aliweka wazi. Hata angetumia namba ya jirani watu wanamuamini na ndicho cha muhimu.

Ugomvi wa wivu umeanza baada ya wengine kutoweza kuchangisha.

Kila siku mnachangiana sio jambo la ajabu kutokea.

If maafa basi serikali iwajibike isibaki kuwa wadaku wa wananchi na uamuzi wao.
 
Yes watu elf 50 kila mtu buku ni milioni 50 hiyo. Na wana ligi yao kule insta kukomoa celebrity mwenye ugomvi na celebrity wao! So sishangai 37 m sio kitu.

Japo nadhani serikali ipo sahihi. Maana kila mtu akianza kuchanga inakua vigumu ku-account.
Kwa jinsi nchi yetu ilivyo kwamba kila mahala ni upigaji, polisi wapatapo taarifa kwamba kuna hiyo shughuli "in progress", watakiwa wamnase jamaa kisha wamchunge aendeleze michango na akimaliza basi wamalizane nae kisha wampatia kama milioni 10.

Na apigwa onyo kali akirudia ni jela.

Hivyo ndivyo yatakiwa.
 
MSIZWA na genge lake ndio strong army walio nyuma yake.
 
Waziri Mkuu amekurupuka. Ashauriwe aache pupa!
 
Bila shaka ni kwa nia njema kabisa.
 

Wala hajakusanya hizo milioni 37. Hana huo uwezo labda Malisa
 
Tanganyika ukiweza kubuni kutengeneza bunduki, badala ya kuchukuliwa ukawafundishe watu namna ya kutengeneza bunduki, wao watakukamata na kukufunga.

Ndicho wanatska kukifanya
Bas na mimi nikiiba msinifunge. Nifanye niwe polisi
 
mbona LISu hajakamatwa na alipata janga la kumiminiwa lisasi na kachangiwa anunue gari lakini CHADEMA ikachangisha fedha ya matibabu.....niffer kabugi wapi? Sheria inasemaje
 
Niffer yupo kwenye daraja la Influencer yaani mhamasishaji mitandaoni kitaalam.

Niffer pia afaa kuwekwa kwenye kamati ya maafa kama mshauri.
duh...kweli kabisa?mshauri! au ulimaanisha mhamasishaji? ila pipo wako na confidence sana nwdayz is it true she reply 2 PM that she has strong army? hii kama ni uhuru ss umepitiliza
 
Huyo jamaa ni kama wale tuma kwenye namba hii?

Ama yeye amechangisha na kuwasaidia waathirika?
Mie mgeni, nifahamishwe.
Ndo huyohuyo.

Ila wapigaji halisi walikuwa wakimwangalia tu huku saio likipanda.

Kule benki au kwenye muamala ukiwa una historia ya kuwa na salio la kawaida halafu mara paap siku moja salio laongezeka huwa ina kuwa issue yabidi uangaliwe waelekea wapi kifedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…