cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
2023
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes watu elf 50 kila mtu buku ni milioni 50 hiyo. Na wana ligi yao kule insta kukomoa celebrity mwenye ugomvi na celebrity wao! So sishangai 37 m sio kitu.Alisema watu walifika kama sijakosea zaidi ya laki 1, na hata 500tshs na 1,000tshs zilikuwemo yeye kunoti alisema akishukuru kuaminiwa. Hata kesho ataweza tu, hard working girl.
Ameandaa namba ya simu na muamala kisha kaweka tangazo mtandaoni kwenye simu na kazi ikaanza.
Ila yasemwa kuwa ni bank na kampuni ya simu ndo waloshtukia mchezo.
Kwa jinsi nchi yetu ilivyo kwamba kila mahala ni upigaji, polisi wapatapo taarifa kwamba kuna hiyo shughuli "in progress", watakiwa wamnase jamaa kisha wamchunge aendeleze michango na akimaliza basi wamalizane nae kisha wampatia kama milioni 10.Yes watu elf 50 kila mtu buku ni milioni 50 hiyo. Na wana ligi yao kule insta kukomoa celebrity mwenye ugomvi na celebrity wao! So sishangai 37 m sio kitu.
Japo nadhani serikali ipo sahihi. Maana kila mtu akianza kuchanga inakua vigumu ku-account.
MSIZWA na genge lake ndio strong army walio nyuma yake.Alichokifanya Nifa, nikuudanganha Umma ,wamwamini, akishaaminika, Kila MTU atataka asibaki nyuma, na hapo ndipo kulipo na kilio Cha kusaga meno.
Naaaa kama kweli kafikisha 37M, Yule Nabii mgawa magari kahusika, na hapa ndipo tunaposema, Utajiri wa mwanamke uko katikati ya mapaja yake.
Waziri Mkuu amekurupuka. Ashauriwe aache pupa!Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi.
Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya maisha haijulikani wataweza vipi kujiokoa au kuokolewa.
Serikali kupitia kamati ya maafa imezembea na ni wazi wale wote wanohusika huu ni wakati wa kuketi kikao cha kutathmini uzembe ulotokea na kisha kujipanga upya kwani tayari maji yamemwagika.
Sasa katika maongezi yake mheshimiwa waziri mkuu kaagiza kuwa mtu ambae anatuhumiwa kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa ajali hiyo ni lazima akamatwe na ahojiwe kwanini amefanya shughuli iso yake na mamlaka hayo ni nani amempatia.
Yasemekana mtu huyo kwa juhudi zake binafsi ameweza kuchangisha kiasi cha shilingi za kitanzania au fedha za madafu milioni 37! ambazo ametumiwa kupitia muamala ya simu yake yaani watu walikuwa wakidondosha humo kila alie nacho.
Mimi namshauri waziri mkuu amsamehe mtu huyo ila apewe onyo kali na polisi kwamba asirudie kitendo hicho. Ni wazi kuwa umaskini na kukosa ajira ndo moja ya sababu kuwa ilompelekea mtu huyo kuja na wazo la kiakili kuweza kukusanya shilingi milioni 37 ndani ya masaa 48 ukizingatia kuwa wale waathirika ambao wameokolewa huenda hadi leo hawakuwa wameonwa na kamati ya maafa.
Pili, litakuwa ni jambo la busara kubwa endapo mtu huyo ataajiriwa na kamati ya maafa ili nae achangie mawazo yake na awe huru zaidi kuweza kuonyesha mbinu na njia kadhaa za kuchangisha fedha kwa uharaka na ufanisi mkubwa kwani yasemwa kuwa ametumia moja ya mitandao ya simu na ameingiza fedha hizo kwa uharaka mkubwa hiyo ni wazi kuwa mtu huyu ana maarifa (skills).
Tatu, kwa kuwa mtu huyo ameingiza fedha hizo basi si mbaya kama serikali itamfikiria kumlipa posho kiasicha kuweza kujitayarisha endapo kamati ya maafa itamujiri rasmi.
Mwisho, hali ya maisha ya watanzania wa hali ya chini ni ngumu na linapojitokeza tatizo kama hilo kubwa wengi wa wale waso na ajira hujikuta wakipatwa na majaribu ya shetwani kiasi cha kuacha kuokoa watanzania wenzao ambao wamekumbwa na madhoruba na kuanza kufanya uporaji yaani "looting" yote hiyo ni umaskini na kukosa kipato cha uhakika.
Ni juzi tu tumeona jinsi watanzania walivyochoka na maisha kiasi cha kuwaangalia tu wale watanzania wenzetu wakijaribu kumteka raia wa kawaida bwana Bonge ili waende kumdhuru.
Natarajia waziri mkuu atapata muda wa kunywa gahawa huku akiperuzi JF na akiona mada hii basi tafadhali azingatie ombi hili.
Ni mie mdau wa fikra mpya kwa watanzania.
Bila shaka ni kwa nia njema kabisa.Hakuna mchezo kila kitu aliweka wazi. Hata angetumia namba ya jirani watu wanamuamini na ndicho cha muhimu.
Ugomvi wa wivu umeanza baada ya wengine kutoweza kuchangisha.
Kila siku mnachangiana sio jambo la ajabu kutokea.
If maafa basi serikali iwajibike isibaki kuwa wadaku wa wananchi na uamuzi wao.
Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi.
Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya maisha haijulikani wataweza vipi kujiokoa au kuokolewa.
Serikali kupitia kamati ya maafa imezembea na ni wazi wale wote wanohusika huu ni wakati wa kuketi kikao cha kutathmini uzembe ulotokea na kisha kujipanga upya kwani tayari maji yamemwagika.
Sasa katika maongezi yake mheshimiwa waziri mkuu kaagiza kuwa mtu ambae anatuhumiwa kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa ajali hiyo ni lazima akamatwe na ahojiwe kwanini amefanya shughuli iso yake na mamlaka hayo ni nani amempatia.
Yasemekana mtu huyo kwa juhudi zake binafsi ameweza kuchangisha kiasi cha shilingi za kitanzania au fedha za madafu milioni 37! ambazo ametumiwa kupitia muamala ya simu yake yaani watu walikuwa wakidondosha humo kila alie nacho.
Mimi namshauri waziri mkuu amsamehe mtu huyo ila apewe onyo kali na polisi kwamba asirudie kitendo hicho. Ni wazi kuwa umaskini na kukosa ajira ndo moja ya sababu kuwa ilompelekea mtu huyo kuja na wazo la kiakili kuweza kukusanya shilingi milioni 37 ndani ya masaa 48 ukizingatia kuwa wale waathirika ambao wameokolewa huenda hadi leo hawakuwa wameonwa na kamati ya maafa.
Pili, litakuwa ni jambo la busara kubwa endapo mtu huyo ataajiriwa na kamati ya maafa ili nae achangie mawazo yake na awe huru zaidi kuweza kuonyesha mbinu na njia kadhaa za kuchangisha fedha kwa uharaka na ufanisi mkubwa kwani yasemwa kuwa ametumia moja ya mitandao ya simu na ameingiza fedha hizo kwa uharaka mkubwa hiyo ni wazi kuwa mtu huyu ana maarifa (skills).
Tatu, kwa kuwa mtu huyo ameingiza fedha hizo basi si mbaya kama serikali itamfikiria kumlipa posho kiasicha kuweza kujitayarisha endapo kamati ya maafa itamujiri rasmi.
Mwisho, hali ya maisha ya watanzania wa hali ya chini ni ngumu na linapojitokeza tatizo kama hilo kubwa wengi wa wale waso na ajira hujikuta wakipatwa na majaribu ya shetwani kiasi cha kuacha kuokoa watanzania wenzao ambao wamekumbwa na madhoruba na kuanza kufanya uporaji yaani "looting" yote hiyo ni umaskini na kukosa kipato cha uhakika.
Ni juzi tu tumeona jinsi watanzania walivyochoka na maisha kiasi cha kuwaangalia tu wale watanzania wenzetu wakijaribu kumteka raia wa kawaida bwana Bonge ili waende kumdhuru.
Natarajia waziri mkuu atapata muda wa kunywa gahawa huku akiperuzi JF na akiona mada hii basi tafadhali azingatie ombi hili.
Ni mie mdau wa fikra mpya kwa watanzania.
Hapana, asaidiwe kwani ni kama nilivyosema ana "potential".
Bas na mimi nikiiba msinifunge. Nifanye niwe polisiTanganyika ukiweza kubuni kutengeneza bunduki, badala ya kuchukuliwa ukawafundishe watu namna ya kutengeneza bunduki, wao watakukamata na kukufunga.
Ndicho wanatska kukifanya
Interpol ipo itasaidia kukamatwa huko nje ya nchi.Tayari yajulikana kumpata mmiliki wa jengo ni jambo ambalo halitawezekana.
Huenda yuko nje ya nchi au majina ni mengine.
Duh...Amesema ana strong army...
Nendeni taratibu nae..
duh...kweli kabisa?mshauri! au ulimaanisha mhamasishaji? ila pipo wako na confidence sana nwdayz is it true she reply 2 PM that she has strong army? hii kama ni uhuru ss umepitilizaNiffer yupo kwenye daraja la Influencer yaani mhamasishaji mitandaoni kitaalam.
Niffer pia afaa kuwekwa kwenye kamati ya maafa kama mshauri.
Ndio hapo atakapojazia na zakeJeni ni muongo ukute kakusanya laki 5 tu 😂
Ndo huyohuyo.Huyo jamaa ni kama wale tuma kwenye namba hii?
Ama yeye amechangisha na kuwasaidia waathirika?
Mie mgeni, nifahamishwe.