Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Nipo Nakula Kangaroo hapa.Amesema ana strong army...
Nendeni taratibu nae..
Wewe na Maliasili mbio kuja kunikamata kumbe nazungumzia Mgahawa wa Kangaroo.
Umeme mdogo vichwani.
#Metaphor.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Nakula Kangaroo hapa.Amesema ana strong army...
Nendeni taratibu nae..
Niffer yupo kwenye daraja la Influencer yaani mhamasishaji mitandaoni kitaalam.Mimi niko hapa nataka serikali nayo itupe update za michango kama Niffer tuone nani zaidi.
🤣Nipo Nakula Kangaroo hapa.
Wewe na Maliasili mbio kuja kunikamata kumbe nazungumzia Mgahawa wa Kangaroo.
Umeme mdogo vichwani.
#Metaphor.
He's just a hustler.Alafu ukute alikusanya 1m tu ye akaongeza sifuri aonekane ana ushawishi mkubwa,
Ngoja tuone kati yake na mh.nani ana strong army!
Ila akivuka hili mshaurini aache kimbelembele anguko lake litakua kubwa huko mbeleni mana anajaa kwenye mifumo ya watu!
Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi.
Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya maisha haijulikani wataweza vipi kujiokoa au kuokolewa.
Serikali kupitia kamati ya maafa imezembea na ni wazi wale wote wanohusika huu ni wakati wa kuketi kikao cha kutathmini uzembe ulotokea na kisha kujipanga upya kwani tayari maji yamemwagika.
Sasa katika maongezi yake mheshimiwa waziri mkuu kaagiza kuwa mtu ambae anatuhumiwa kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa ajali hiyo ni lazima akamatwe na ahojiwe kwanini amefanya shughuli iso yake na mamlaka hayo ni nani amempatia.
Yasemekana mtu huyo kwa juhudi zake binafsi ameweza kuchangisha kiasi cha shilingi za kitanzania au fedha za madafu milioni 37! ambazo ametumiwa kupitia muamala ya simu yake yaani watu walikuwa wakidondosha humo kila alie nacho.
Mimi namshauri waziri mkuu amsamehe mtu huyo ila apewe onyo kali na polisi kwamba asirudie kitendo hicho. Ni wazi kuwa umaskini na kukosa ajira ndo moja ya sababu kuwa ilompelekea mtu huyo kuja na wazo la kiakili kuweza kukusanya shilingi milioni 37 ndani ya masaa 48 ukizingatia kuwa wale waathirika ambao wameokolewa huenda hadi leo hawakuwa wameonwa na kamati ya maafa.
Pili, litakuwa ni jambo la busara kubwa endapo mtu huyo ataajiriwa na kamati ya maafa ili nae achangie mawazo yake na awe huru zaidi kuweza kuonyesha mbinu na njia kadhaa za kuchangisha fedha kwa uharaka na ufanisi mkubwa kwani yasemwa kuwa ametumia moja ya mitandao ya simu na ameingiza fedha hizo kwa uharaka mkubwa hiyo ni wazi kuwa mtu huyu ana maarifa (skills).
Tatu, kwa kuwa mtu huyo ameingiza fedha hizo basi si mbaya kama serikali itamfikiria kumlipa posho kiasicha kuweza kujitayarisha endapo kamati ya maafa itamujiri rasmi.
Mwisho, hali ya maisha ya watanzania wa hali ya chini ni ngumu na linapojitokeza tatizo kama hilo kubwa wengi wa wale waso na ajira hujikuta wakipatwa na majaribu ya shetwani kiasi cha kuacha kuokoa watanzania wenzao ambao wamekumbwa na madhoruba na kuanza kufanya uporaji yaani "looting" yote hiyo ni umaskini na kukosa kipato cha uhakika.
Ni juzi tu tumeona jinsi watanzania walivyochoka na maisha kiasi cha kuwaangalia tu wale watanzania wenzetu wakijaribu kumteka raia wa kawaida bwana Bonge ili waende kumdhuru.
Natarajia waziri mkuu atapata muda wa kunywa gahawa huku akiperuzi JF na akiona mada hii basi tafadhali azingatie ombi hili.
Ni mie mdau wa fikra mpya kwa watanzania.
Sasa mkuu, records za mwenye jengo ni kitendo cha kunyanyua simu kupiga pale wizara ya ardhi, au?Nguvu ya kufuatilia wachangishaji ni kubwa kuliko nguvu ya kumtafuta mwenye jengo.....ila yoye kwa yote serikali nayo iitoe update kama Niffer

Ni mie mdau wa fikra mpya kwa watanzania
Kwani Kuna aliyeenda kumshtaki Kwa kudhulumiwa. Aliyedhulumu uhai wa watanzani amechukuliwa hatua ganiLeo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi.
Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya maisha haijulikani wataweza vipi kujiokoa au kuokolewa.
Serikali kupitia kamati ya maafa imezembea na ni wazi wale wote wanohusika huu ni wakati wa kuketi kikao cha kutathmini uzembe ulotokea na kisha kujipanga upya kwani tayari maji yamemwagika.
Sasa katika maongezi yake mheshimiwa waziri mkuu kaagiza kuwa mtu ambae anatuhumiwa kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa ajali hiyo ni lazima akamatwe na ahojiwe kwanini amefanya shughuli iso yake na mamlaka hayo ni nani amempatia.
Yasemekana mtu huyo kwa juhudi zake binafsi ameweza kuchangisha kiasi cha shilingi za kitanzania au fedha za madafu milioni 37! ambazo ametumiwa kupitia muamala ya simu yake yaani watu walikuwa wakidondosha humo kila alie nacho.
Mimi namshauri waziri mkuu amsamehe mtu huyo ila apewe onyo kali na polisi kwamba asirudie kitendo hicho. Ni wazi kuwa umaskini na kukosa ajira ndo moja ya sababu kuwa ilompelekea mtu huyo kuja na wazo la kiakili kuweza kukusanya shilingi milioni 37 ndani ya masaa 48 ukizingatia kuwa wale waathirika ambao wameokolewa huenda hadi leo hawakuwa wameonwa na kamati ya maafa.
Pili, litakuwa ni jambo la busara kubwa endapo mtu huyo ataajiriwa na kamati ya maafa ili nae achangie mawazo yake na awe huru zaidi kuweza kuonyesha mbinu na njia kadhaa za kuchangisha fedha kwa uharaka na ufanisi mkubwa kwani yasemwa kuwa ametumia moja ya mitandao ya simu na ameingiza fedha hizo kwa uharaka mkubwa hiyo ni wazi kuwa mtu huyu ana maarifa (skills).
Tatu, kwa kuwa mtu huyo ameingiza fedha hizo basi si mbaya kama serikali itamfikiria kumlipa posho kiasicha kuweza kujitayarisha endapo kamati ya maafa itamujiri rasmi.
Mwisho, hali ya maisha ya watanzania wa hali ya chini ni ngumu na linapojitokeza tatizo kama hilo kubwa wengi wa wale waso na ajira hujikuta wakipatwa na majaribu ya shetwani kiasi cha kuacha kuokoa watanzania wenzao ambao wamekumbwa na madhoruba na kuanza kufanya uporaji yaani "looting" yote hiyo ni umaskini na kukosa kipato cha uhakika.
Ni juzi tu tumeona jinsi watanzania walivyochoka na maisha kiasi cha kuwaangalia tu wale watanzania wenzetu wakijaribu kumteka raia wa kawaida bwana Bonge ili waende kumdhuru.
Natarajia waziri mkuu atapata muda wa kunywa gahawa huku akiperuzi JF na akiona mada hii basi tafadhali azingatie ombi hili.
Ni mie mdau wa fikra mpya kwa watanzania.
Mkuu followers wa insta wana mambo hiyo milioni 37 ni sawa na shilingi 1500 kwa followers elf 25! Nimeona kachapicha statement ni msururu wa miamala ya buku buku mbili!Alichokifanya Nifa, nikuudanganha Umma ,wamwamini, akishaaminika, Kila MTU atataka asibaki nyuma, na hapo ndipo kulipo na kilio Cha kusaga meno.
Naaaa kama kweli kafikisha 37M, Yule Nabii mgawa magari kahusika, na hapa ndipo tunaposema, Utajiri wa mwanamke uko katikati ya mapaja yake.
Yawezekana kabisa usemayo lakini kwa jicho la tatu Nifa ana potential kwa maana kwamba ana nguvu ya kuhamashisha.Alichokifanya Nifa, nikuudanganha Umma ,wamwamini, akishaaminika, Kila MTU atataka asibaki nyuma, na hapo ndipo kulipo na kilio Cha kusaga meno.
Naaaa kama kweli kafikisha 37M, Yule Nabii mgawa magari kahusika, na hapa ndipo tunaposema, Utajiri wa mwanamke uko katikati ya mapaja yake.
Alikuwa anatafuta attention aendelee kuibia watu Hana loloteAtatuambia tu 36.5m kapeleka wap
Alisema watu walifika kama sijakosea zaidi ya laki 1, na hata 500tshs na 1,000tshs zilikuwemo yeye kunoti alisema akishukuru kuaminiwa. Hata kesho ataweza tu, hard working girl.Mkuu followers wa insta wana mambo hiyo milioni 37 ni sawa na shilingi 1500 kwa followers elf 25! Nimeona kachapicha statement ni msururu wa miamala ya buku buku mbili!
Kumbuka wana mamilioni ya followers
Hivi Million 37 hahahahahAlafu ukute alikusanya 1m tu ye akaongeza sifuri aonekane ana ushawishi mkubwa,
Ngoja tuone kati yake na mh.nani ana strong army!
Ila akivuka hili mshaurini aache kimbelembele anguko lake litakua kubwa huko mbeleni mana anajaa kwenye mifumo ya watu!
Kesi za mauaji ni habari ingine.
Huu ni wizi wa mitandaoni ambao umehama kutoka kwenye wizi wa kalamu.
Atatuambia tu 36.5m kapeleka wap