Ushauri: Lwandamila afukuzwe haraka sana Yanga

Umeshasema wewe ni Simba sasa ubovu wake ni up? Ajabu kufugwa au kuna timu au kocha hafungwi Duniani?
Timu juzi tu ilikuwa kiwango cha dunia leo imeporomoka kwa kasi ya kutisha namna ile bado hamstuki ! Manji kawapa nini , au hizo fulana za bure za quality group zimewalewesha ?
 
Dua la kuku subiri ufukuze kocha wako
Atafukuzwa vipi mkuu wakati unaona anatupa raha mashabiki?nyinyi yanga mpo radhi mfungwe na Lipuli inayogaragara daraja la pili wala hamtalalamika ila wakiwatia adabu wakubwa wenzenu Simba mnakasirika.nakuhakikishia match hii ni ya mwisho jamaa anaiona Zambia ipo Chalinze(yaani sio mbali tena)
 
Timu juzi tu ilikuwa kiwango cha dunia leo imeporomoka kwa kasi ya kutisha namna ile bado hamstuki ! Manji kawapa nini , au hizo fulana za bure za quality group zimewalewesha ?
Imeporomoka! Mngetufunga kumi bc dkk 90
 
Unajua mimi ni Simba damu lakini uzalendo umenisukuma kuitetea yanga , ambayo ni kama imelogwa ! Hivi utaachaje kocha mzuri ( Pluijm ) na kuchukua hili garasa ?
Manji anataka kuishusha daraja ili ainunue kwa bei ya kutupa!!
 
Yaani mtu kapigwa ngumi yuko chini anasema ungenipiga kichwa. Wewe uliona wapi mfungwa anachagua adhabu na jela?Hiyo ni kazi ya hakimu (Simba).Ukipewa amri unalala na usingizi huna. Ndio adha ya kuwa mfungwa.
 
Nyinyi sio wapenzi wa Yanga hio huruma inatoka wapi! ? Kama sio woga wenu!
 
Unajua mimi ni Simba damu lakini uzalendo umenisukuma kuitetea yanga , ambayo ni kama imelogwa ! Hivi utaachaje kocha mzuri ( Pluijm ) na kuchukua hili garasa ?
Unaitetea kwa mapenz gan uliyoko nayo kwa yanga? Afukuzwe halaf ukaifundishe ww au?

ACHA UNAFIKI
 
Kama kawaida mnyama kamfundisha ndala mpira.pole kama we mwana-yanga.
Sioni aibu wala kusikitika ushindi wa [HASHTAG]#PENALT[/HASHTAG] ni wabahati nasibu alwaysss....waliyoyategemea sio waliyoyakuta am still binti wa [HASHTAG]#JANGWANI[/HASHTAG].... [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Zanzibar Hamna hongo na Leo mme 4G
Tungefungwa ndani ya dk 90 nadhani ingekuwa nongwa sana.
Tunarudi Bongo kujipanga na VPL. Tarehe 17/1/2017 tuna game na Majimaji Songea. Kila la kheli Yanga yangu.
Daima mbele Nyuma Mwiko.
 
Tulizen korodany zenu sisi tunataka ccm pamoja na yanga yake tuwafutilie mbal kwenye huu uso wa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…