Akili zimewarudia mlipokuwa mnaizungumzia Simba na kiwango chake ilikuwa haluwa mara imegeuka shubiri. Uko kwenye chumba cha vioo unarusha mawe ndio matokeo yake hayo.Mkuu kwanini usishughulikie na yahusuyo team yako?
Hapa Mkuu nikikujibu tu zaidi ya mistari miwili lazima nile mitusi[emoji1]Akili zimewarudia mlipokuwa mnaizungumzia Simba na kiwango chake ilikuwa haluwa mara imegeuka shubiri. Uko kwenye chumba cha vioo unarusha mawe ndio matokeo yake hayo.
Kwani umetukanwa?Ukiwa unaishi kwenye chumba cha vioo usirushe mawe. Mlipokuwa mnaizungumzia Simba ilikuwa sawa leo hata kutajwa Yanga imekuwa nongwa.Hapa Mkuu nikikujibu tu zaidi ya mistari miwili lazima nile mitusi[emoji1]
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu .mi jana nimebishana na watu hadi nikataka kupigwa chupa ...huyu kocha ni kimeo ........nilichoona kipya ni kuwa kipa hapigi mpira mbele direct wanaanziana...kocha gharasa kabisa huyu ...yule mzungu pasi zilikua zinaonekana huyu hata pasi 4 hakuna ...mbinu hatuzioni ...na wamemleta kipindi kibaya mno simba wako kwenye form .....
Kahaba wa feri hawezi kutega kinondoni makaburini .Kahaba utamjua tu, hana kituo maalum!!
HongeraKahaba wa feri hawezi kutega kinondoni makaburini .