Ushauri: Lwandamila afukuzwe haraka sana Yanga

Ushauri: Lwandamila afukuzwe haraka sana Yanga

Mkuu kwanini usishughulikie na yahusuyo team yako?
Akili zimewarudia mlipokuwa mnaizungumzia Simba na kiwango chake ilikuwa haluwa mara imegeuka shubiri. Uko kwenye chumba cha vioo unarusha mawe ndio matokeo yake hayo.
 
Akili zimewarudia mlipokuwa mnaizungumzia Simba na kiwango chake ilikuwa haluwa mara imegeuka shubiri. Uko kwenye chumba cha vioo unarusha mawe ndio matokeo yake hayo.
Hapa Mkuu nikikujibu tu zaidi ya mistari miwili lazima nile mitusi[emoji1]
 
Hapa Mkuu nikikujibu tu zaidi ya mistari miwili lazima nile mitusi[emoji1]
Kwani umetukanwa?Ukiwa unaishi kwenye chumba cha vioo usirushe mawe. Mlipokuwa mnaizungumzia Simba ilikuwa sawa leo hata kutajwa Yanga imekuwa nongwa.
 
IMG-20170112-WA0001.jpg
 
Bora Asifukuzwe aendelee tu Kubakia ili tuwaone Yanga Afirika Wakizidi Kulamba Ndimu...
 
mi jana nimebishana na watu hadi nikataka kupigwa chupa ...huyu kocha ni kimeo ........nilichoona kipya ni kuwa kipa hapigi mpira mbele direct wanaanziana...kocha gharasa kabisa huyu ...yule mzungu pasi zilikua zinaonekana huyu hata pasi 4 hakuna ...mbinu hatuzioni ...na wamemleta kipindi kibaya mno simba wako kwenye form .....
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu .
 
Naona alosto imeanza kuwaisha sasa ngoja tuandae masikio naamini tutasikia mengi teh teh teh teh
 
Wanayanga msipochukua ushauri huu mtalia kila siku .
 
Huyu mtu anatuhalibia timu, hivyo akipisha itakuwa bora zaidi
 
Back
Top Bottom