Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nakubali ntafanyaje sasa si unajua kwako sipindui.Siyo picha yangu hii,tuliza bas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali ntafanyaje sasa si unajua kwako sipindui.Siyo picha yangu hii,tuliza bas
Uko poa lakinNakubali ntafanyaje sasa si unajua kwako sipindui.
Nipo poa.Uko poa lakin
So unamsomesha ili iweje ,na wakiume husomeshi. Mie Nina dada na nimetanguliza mabinti kuzaa Ila sijaona logic. Yaani Kama unafanya kitu kwa mdogo wako ama kwa mwanao kwa mategemeo fulani usipoyapota utaumia Mara mbili ama sio kumi.nimsomeshe halafu kamaliza anataka kuolewa aende bure
Basi why watu mna bargain Kama Ni kuunga mkono kuunganisha unduguMahari iendelee.
-Ni shukrani kwa wazazi kwa kukubali muunge udugu.
-Kuonesha upo tayari kuwajibika kwa mke na familia.
-Kuonesha upendo na kumkubali mtu.
-Ni jaribio tosha la kuonesha utayari wa kuiishi ndoa.
NB:Utoaji mahari uendelee ila viwango viongezwe ili mtu akiona mwanaume kaoa awe na heshima kwa ndoa za watu.
Hebu rudia mkuu labda yeyeLabda wewe tuu ndio uamue kwamba hatahitaji mahari kwa binti yako. Lakini katika jamii hilo jambo haliwezi kuja kutokea. Niamini mimi
Hili jambo ni utamaduni. Ndio maana kiafrika mwanamke anaolewa na mwanaume anaoa na siyo kinyume chakeSo unamsomesha ili iweje ,na wakiume husomeshi. Mie Nina dada na nimetanguliza mabinti kuzaa Ila sijaona logic. Yaani Kama unafanya kitu kwa mdogo wako ama kwa mwanao kwa mategemeo fulani usipoyapota utaumia Mara mbili ama sio kumi.
Why ung'ang'anie traditional ambazo sio productive or faida zake hazina Mana. Watu huwa wanaumia mahari zao mke akiaanza kuzinguautamaduni
Kuomba punguzo muhimu.Mtanzania/Mwafrika/binadamu bila punguzo hata kidogo haridhiki.Halafu,kwa tabia za familia zetu usipoomba punguzo unaonekana ni jeuri,unajidai,una dharau na siyo mbembelezaji.Unajipunguzia sifa.Basi
Basi why watu mna bargain Kama Ni kuunga mkono kuunganisha undugu
Kuzinguana ni ajali kama ajali zingine.Ukiweka mawazo ya kushindwa kabla haujatenda unajishushia pointi.Usiwaze sana ulichotoa kama mahari mwisho wake ndiyo utaanza kuishi na mwenza wako kama mfugo.Au hata kumtendea ubaya na vipigo juu.Fanya kama ulinywea "bia" ukafurahisha nafsi tu.Why ung'ang'anie traditional ambazo sio productive or faida zake hazina Mana. Watu huwa wanaumia mahari zao mke akiaanza kuzingua
Dah ukiwa Muislamu ni Raha sanaaa huna muda wa kuwaza wala kuuliza maswali kama hayaHabari!
Hii mada imejadiliwa mara nyingi na sehemu nyingi.
Je, Mahari inayotolewa ili kijana aozeshwe ifutwe?
Kama ifutwe toa sababu, kama uendelee toa sababu.
Hakuna cha bure toeni mahali, hiyo ipo ni utamaduni kufutika ni kazi nzito labda unaweza badilika kwa format nyingine lakini si kufutika.Habari!
Hii mada imejadiliwa mara nyingi na sehemu nyingi.
Je, Mahari inayotolewa ili kijana aozeshwe ifutwe?
Kama ifutwe toa sababu, kama uendelee toa sababu.
Tunong'oneze ndugu yetu.Unaweza kutushawishi tukahamia kijijini kwenu.Dah ukiwa Muislamu ni Raha sanaaa huna muda wa kuwaza wala kuuliza maswali kama haya
AM PROUD TO BE MUSLIM
Nani kasema walioleta huo utaratibu ni wazungu??? Hivi kumbe hujui kama ni sehemu ya utamaduni wa Mwafrika sio Kila kitu kaleta mzungu, yaani unataka kusema na ule utani unaokuwepo Wakat wa kutoanmahari ni mzungu kaanzisha ?? Yaani unataka kutuambia Kwa wachaga mzungu aliwaambia unapoenda kutoa ni mahari lazima uweke na mbege, kama hujui useme sijui, na kama hauna mahari ya kwenda kulipa narudia tena sema Watu wakuchangie uoe utulie, otherwise weka hojaMahari ifutwe, hata waliotuletea huo utaratibu ambao ni Wazungu wameuacha.
Daah hiili suala linahuzunisha sana kuna Jamaa Jana alikua anasimulia ameshindwa kuoa sababu ya Mahari yaani unaambiwa ukweni walimwambia alipe Million 2 na Laki 5, shughuli anazofanya na malipo ya mahari haviendani kabisa hivyo amebaki kuishi uchumba sugu huu mwaka wa 10 bado hajaoa mke kashamzalisha watoto watatu ila ndoa hawajafunga kisa Mahari parefuHabari!
Hii mada imejadiliwa mara nyingi na sehemu nyingi.
Je, Mahari inayotolewa ili kijana aozeshwe ifutwe?
Kama ifutwe toa sababu, kama uendelee toa sababu.