Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Urefu umeupimaje? Kwanza unaujua mahari siku hizi zimerahisishwa ingekuea wanafuatavmfumo WA kulipa Kwa ng'ombe kama ilivyokuwa awali nani angeoa??Milion2 parefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urefu umeupimaje? Kwanza unaujua mahari siku hizi zimerahisishwa ingekuea wanafuatavmfumo WA kulipa Kwa ng'ombe kama ilivyokuwa awali nani angeoa??Milion2 parefu.
Mwambie kijana atafute mshenga anajua kuongea vizur ili kuweka asante yako kwa wazazi mkononi.Daah hiili suala linahuzunisha sana kuna Jamaa Jana alikua anasimulia ameshindwa kuoa sababu ya Mahari yaani unaambiwa ukweni walimwambia alipe Million 2 na Laki 5, shughuli anazofanya na malipo ya mahari haviendani kabisa hivyo amebaki kuishi uchumba sugu huu mwaka wa 10 bado hajaoa mke kashamzalisha watoto watatu ila ndoa hawajafunga kisa Mahari parefu
Mahari hizi au vikwazo vya kutokuoa?
Tatizo mtoto wa kiume n mharibifu!Wanawake umewaona wameolewa kifua kimesimama [emoji23][emoji23][emoji23]. Amechezewa na watu zaidi ya ya wanne ndio anakuja kuolewa, leo useme amekuja kwangu kwaajili ya ndoa ilihali wanatafuta unafuu wa maisha. Mabinti wangapi walioolewa uliona wanauwezo wakimaisha wakati wamesimama hawajui waende wapi. Kamuulize binti aliyetoka chuoni kama anataka ndoa, atakwambia, I want to develop my carrier na kuwastable ila ndoa sio mpango, subiri 1 to 2 years uone atakujibu nini maana wanakuwa wameweka mwanaume kama contingency plan baada ya maisha au ajira kuwakataa. Kijana, wanaume tunaishi kwenye hii hii jamii tuliochanganyikana na wanawake hivyo ujue wao sio malaika na siwatakatifu ni binadamu tu. Usitetee point kwakumkweza mtu fulani ili aonekane yeye ni bora huo ni ukosaji wa maarifa. Watu wanafanya hadi upumbavu mpaka tushaanza tusiulizane yaliyopita tugange yajayo leo useme eti chuchu saa sita. Njoo uone mabinti wanavyotoa mimba hospitalini. Acha primitive thinking.
Mahari imewekwa kama shukran kwa muhusika baada ya kulelewa na kutunzwa nyumbani kwao toka anakuwa we unadhani hyo million moja ndo umemaliza gharama za malezi za aliyekutunzia mke hapo sijaongelea wale waliosomeshwa naongelea hawa kina mwajuma wa mbagala yaani ulelewe mke halafu umchukue bure kwanza ndoa isingekuwa na thamani na visa vya kuachana vingekuwa vingi si unajua akizingua unavuta tu.Kwahiyo kwa akili zako kusomesha ndio kibari cha mzazi kuomba Mahari?
Umechanganya mafaili mkuuNadhani wewe ndio una primitive thinking, au ndo nyie mnawaza ukioa aliye na uwezo atakusaidia maisha?? Maisha mwanaume hasaidiwi anapambana, mke wangu nimemuona akiwa anamalizia mwaka wake mwisho chuo na ni mhasibu aliyeajiliwa Sasa, na rafiki zake wote aliosoma nao tumeshakula ubwabwa yaanii wameolewa Sasa sijui wanafunzi gani wa chuo ambao hawataki kuolewa, hayo mawazo ya kwamba eti mwanamke kuolewa anatafuta unafuu wa maisha ni mawazo ya kijinga Sana, mbona hao wanaume wanaoa wengine hata mahari wanasaidiwa na wanawake hao hao, Kwani hujaona wanaume nao wanataka kuoa wanawake wenye pesa hao wanawake nao watakuwa wanatafuta unafuu wa maisha?? Hebu amka usingizi mkuu, kama wa kwako alisema anataka kuolewa na wewe Kwa sababu ya maisha usisemee wote, halafu suala la kusema eti wanakuja wamechoka nani anawachosha?? Kama huoni haja ya kuoa na usioe.