Uchaguzi 2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

Mlizofyonza kwenye maoni zimeisha? Nyie ndio mnadanganya mpaka vikongwe -.Wasira, Kapuya, warudi ulingoni: Mwenyekiti amerahisisha pambano
 
Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.

Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".

Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.

Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.

Makonda amua sasa au kaa kimya milele

Ndimi
Mjumbe
Wewe ndio unataka kumuondoa kabisa katika ramani za siasa.
 
Mlizofyonza kwenye maoni zimeisha? Nyie ndio mnadanganya mpaka vikongwe -.Wasira, Kapuya, warudi ulingoni: Mwenyekiti amerahisisha pambano
Wale wa Kigamboni walikuwa wachache, nchi nzima inamuelewa Makonda
 
hahaha umeona mkuu,,, Wenye Vyeti vya Uvuvi Huwa hawana Sofa?
Mimi zao la chuo cha uvuvi na vyeti hivyo ndivyo ninavyo vitumia kuendeshea maisha yangu, ninapoona mtu anavikejeli vyeti vya uvuvi kisa Paul Makonda nakwazika.
 
Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.

Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".

Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.

Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.

Makonda amua sasa au kaa kimya milele

Ndimi
Mjumbe
Sasa kama anapendwa mbona ubunge tu kakosa? Urais ndio atauweza? Akili za WAJUMBE hizi 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.

Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".

Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.

Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.

Makonda amua sasa au kaa kimya milele

Ndimi
Mjumbe
Sasa naona Wajumbe wanaona kumkata haitishi, wanataka kumchinjia baharini kama bila hata kumuelekeza Kibla.
 
Unajua siamini nilichokisoma maana sijawahi kufikiria kama kuna mtu anamuona makonda kama PM ama presidential material kwa wakati huu 😂😂😂

Naamini anachangamsha genge tu
Yaani ni ajabu kweli kweli! Yaani Tanzania hii wako watu wanamuona bashite kwa jicho la urais, sijui PM, mara sijui spika. Yaani bashite huyu huyu?!
 
Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.

Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".

Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.

Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.

Makonda amua sasa au kaa kimya milele

Ndimi
Mjumbe
Uzi ungekuwa jukwaa la Jokes, Angepata kura nyingi
 
We jamaaa una hakika na ukisemacho? Makonda kasoma Certificate ya uvuvi Nyegezi alipomaliza akaenda kusoma Diploma hiyo hiyo ya uvuvi Bagamoyo kabla ya kwenda kung'ang'ania nyumbani kwa marehemu Sita
Tatizo kaingia huko kwa vyeti vya kufoji (forged papers/certificates). Yeye sifa aliyokuwa nayo ni ile ya kumpiga mzee Watioba akitetea ubakaji wa wa ripoti ya tume ya Warioba na CCM.
 
Mimi zao la chuo cha uvuvi na vyeti hivyo ndivyo ninavyo vitumia kuendeshea maisha yangu, ninapoona mtu anavikejeli vyeti vya uvuvi kisa Paul Makonda nakwazika.
Yeye alipata cheti cha UVIVU wa kufikiri na siyo UVUVI wa wapiga kura.
 
Eti "mwanasiasa mahiri" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

1. Mkuu wa Wilaya - Kinondoni
2. Mkuu wa mkoa - Dar es Salaam

Siasa ya ajabu sana. Huyu anaweza kugombea udiwani na asipate.
IMG-20141102-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom