Wewe ndio unataka kumuondoa kabisa katika ramani za siasa.Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".
Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.
Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.
Makonda amua sasa au kaa kimya milele
Ndimi
Mjumbe
Ndivyo itakavyokuwaUshauri mzuri wa kumpoteza kisiasa
Duh! Kumbe huku ndiko kwake halafu anahangaika na siasa!π±π±...Wana Kigamboni wamemsaidia kujua uwezo wake ulipo, either ajiunge na team Gwajima au aanzishe lake.
View attachment 1522440
Kwani sio vyeti makonda tunamtaka awe raisi wetu kupitia UDP Aruta kuntinyua......akuna kuferi...Kwa vyeti hivi hivi vya uvuvi au?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]Hahaha kashindwa kuwashawishi wajumne wachache tu, atawezaje kuwashawishi wapiga kura wengi?!
Mimi zao la chuo cha uvuvi na vyeti hivyo ndivyo ninavyo vitumia kuendeshea maisha yangu, ninapoona mtu anavikejeli vyeti vya uvuvi kisa Paul Makonda nakwazika.hahaha umeona mkuu,,, Wenye Vyeti vya Uvuvi Huwa hawana Sofa?
Sasa kama anapendwa mbona ubunge tu kakosa? Urais ndio atauweza? Akili za WAJUMBE hizi π π π π π π π πMakonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".
Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.
Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.
Makonda amua sasa au kaa kimya milele
Ndimi
Mjumbe
Sasa naona Wajumbe wanaona kumkata haitishi, wanataka kumchinjia baharini kama bila hata kumuelekeza Kibla.Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".
Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.
Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.
Makonda amua sasa au kaa kimya milele
Ndimi
Mjumbe
Yaani ni ajabu kweli kweli! Yaani Tanzania hii wako watu wanamuona bashite kwa jicho la urais, sijui PM, mara sijui spika. Yaani bashite huyu huyu?!Unajua siamini nilichokisoma maana sijawahi kufikiria kama kuna mtu anamuona makonda kama PM ama presidential material kwa wakati huu πππ
Naamini anachangamsha genge tu
Uzi ungekuwa jukwaa la Jokes, Angepata kura nyingiMakonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja.
Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni".
Kwa kuwa akibaki CCM, kifo chake cha kisiasa ki dhahiri na mkuu wetu ameshajiapiza kwamba wenye tamaa hatawarudisha.
Namshauri ndugu makonda ajiunge UDP upendo apeperushe bendera yao akigombea urais. UDP kina mizizi mirefu nchini kote na has a kanda ya ziwa, akija makonda ni kumalizia tu na ataingia ikulu kiurahisi kama anamsukuma mlevi.
Makonda amua sasa au kaa kimya milele
Ndimi
Mjumbe
Tatizo kaingia huko kwa vyeti vya kufoji (forged papers/certificates). Yeye sifa aliyokuwa nayo ni ile ya kumpiga mzee Watioba akitetea ubakaji wa wa ripoti ya tume ya Warioba na CCM.We jamaaa una hakika na ukisemacho? Makonda kasoma Certificate ya uvuvi Nyegezi alipomaliza akaenda kusoma Diploma hiyo hiyo ya uvuvi Bagamoyo kabla ya kwenda kung'ang'ania nyumbani kwa marehemu Sita
Yeye alipata cheti cha UVIVU wa kufikiri na siyo UVUVI wa wapiga kura.Mimi zao la chuo cha uvuvi na vyeti hivyo ndivyo ninavyo vitumia kuendeshea maisha yangu, ninapoona mtu anavikejeli vyeti vya uvuvi kisa Paul Makonda nakwazika.
Eti "mwanasiasa mahiri" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1. Mkuu wa Wilaya - Kinondoni
2. Mkuu wa mkoa - Dar es Salaam
Siasa ya ajabu sana. Huyu anaweza kugombea udiwani na asipate.