Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

Huenda enzi za Mapapaa kurudi mjini zimeshafika! Karibu sana Jijini Papaa Amos Makalla, Mutu ya Watu!! Mutu ya pesa mingi!!! Mutu ya bling bling!!

Wapi Patchou Mwamba, Tajiri! Wapi Ndama Mutoto ya Ng'ombe!! Wapi Papaa Tate Mkuu , Mutu ya Usambara!!! [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wewe unamfahamu yaani hizo ndio sifa zake sasa
 
Kweli alipata shda alitenguliwa, kule katavi, akarud kwenye Jimbo akashinda maoni bado mzee baba akamkata Huko dodomya
Huyo jamaa haoni shida kupiga simu kwa DED,REC,RM nk kuomba hata 200,000 sasa ukimpa hata 50,000 yeye fresh tuu unamwambia mkuu zimepatikana hizi

Yaani kiufupi ni fisadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwendazake alitaka Makalla amsulubishe Sugu na chadema yake pale Mbeya, lkn Makalla akacheza fairly.

Mwendazake akafura kama kifutu akamhamishia Makalla mkoani Katavi. Lkn kumbe alikuwa bado anamtafutia visa tu.

Wakati wa zoezi la uuzaji wa vitambulisho vya wamachinga, Amos aliuza vitambulisho 6,000 tu. Maana mkoa wa Katavi wamachinga hawazidi buku 5.

Mwendazake akamtupilia mbali Makalla. Makalla akajaribu kugombea ubunge 2020, kashinda kura za maoni lkn bado mwendazake akalikata jina la Makalla.

Mwendazake hakuwa mtu.
Magufuli alikuwa na chuki na roho mbaya sana,,,,

Bora Mungu amempaaza
 
Nashauri jiji lifunguliwe ulinzi uwe mkali magenge ya vijana wasiofanyakazi na wezi wadhibitiwe

Jiji lifunguliwe biashara zifanyike 24 hours hata kama ni kwa kuchangia kiasi pesa kidogo sehemu kama kariakoo sio ya kufunga usiku pia Sehemu kama buguruni, Kinondoni, Mbagara kuu, Tandika bandalini na vituo vyote vya police, Kigamboni ubungo mbezi stand mpya ni maeneno yanayotakiwa kuzungusha pesa 24 hours uwepo tu ulinzi dar watu wapo...

Maduka ya kubadilisha pesa yarudishwe maeneo ya Kariakoo posta Mlimani city na kwenye mahoteri yote ili nchi ifanye biashara

Dar ni jiji la kazi na biashara na ni capitalist economy region.

Tunatakiwa kufanyakazi 24 hours
 
Huenda enzi za Mapapaa kurudi mjini zimeshafika! Karibu sana Jijini Papaa Amos Makalla, Mutu ya Watu!! Mutu ya pesa mingi!!! Mutu ya bling bling!!

Wapi Patchou Mwamba, Tajiri! Wapi Ndama Mutoto ya Ng'ombe!! Wapi Papaa Tate Mkuu , Mutu ya Usambara!!! 🔥🔥🔥
Papaa msofe
 
Huyo sio mtumishi wa Mungu Ni mtumishi wa Umma.

Walokole acheni ujinga.
 
karibu mjini papaa Makala...duniani hatujaletwa kupata shida..
 
Mwendazake alitaka Makalla amsulubishe Sugu na chadema yake pale Mbeya, lkn Makalla akacheza fairly....
"Aliuza vitambulisho 6,000 tu maana mkoa wa Katavi wamachinga hawazidi buku 5"

Hii hesabu imekaaje? vitambulisho vilivyouzwa ni vingi kuliko idadi ya wamachinga!
 
"Aliuza vitambulisho 6,000 tu maana mkoa wa Katavi wamachinga hawazidi buku 5"

Hii hesabu imekaaje? vitambulisho vilivyouzwa ni vingi kuliko idadi ya wamachinga!
Hapo ndo kusema Makalla alijitahidi akawauzia hata wakulima wasiostahili kupewa vitambulisho. Lkn mwendazake hakujali hilo.
 
Back
Top Bottom