Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Pask
Sijaona umeorodhesha mafanikio ya huyu mtu hapo zaidi ya kumpa sifa in a needless to say, non-objective manner.
 
Huyu mtu talks a lot of shit every time, and it's clear he gets away with it all all the time.
 
Wakuu

Kama hii mada haijaanzishwa hapo nyuma, basi nadhani ni wakati muafaka wa kudadisi na kutafuta ukweli kuhusu utendaji kazi wa RC wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, Mimi Ningependa kujua faida au mafanikio aliyoweza kufanya tokea ATEULIWE kama RC wa Dar es Salaa.

Hili linakuja baada ya kumuangalia kwa jicho la tatu kauli zake za hivi karibuni kuhusu janga hili la Coronavirus. Huyu mtu kweli anafaa kwenye nafasi aliyo nayo?

Binafsi naona, kama Makonda anafaa sana kuwa mkuu wa kikosi cha utekaji na mauaji, basi kwa nini aendelee kuwa RC wa Dar?
Alivamia radio mawinu na kafanikiwa kumng'oa kwenye uwaziri mzee wa bao la mkono
 
Wakuu

Kama hii mada haijaanzishwa hapo nyuma, basi nadhani ni wakati muafaka wa kudadisi na kutafuta ukweli kuhusu utendaji kazi wa RC wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, Mimi Ningependa kujua faida au mafanikio aliyoweza kufanya tokea ATEULIWE kama RC wa Dar es Salaa.

Hili linakuja baada ya kumuangalia kwa jicho la tatu kauli zake za hivi karibuni kuhusu janga hili la Coronavirus. Huyu mtu kweli anafaa kwenye nafasi aliyo nayo?

Binafsi naona, kama Makonda anafaa sana kuwa mkuu wa kikosi cha utekaji na mauaji, basi kwa nini aendelee kuwa RC wa Dar?
Kwa nini usianzishe uzi wa hasara alizosababisha? Naamini hauna.
 
1.Moja ya fanikio kubwa kabisa ni kuvunjwa kwa kiwanda cha madawa ya kulevya ( club billicanas) na mateja kupungua sana mitaa ya ufipa na manyanya.

2. Utekaji na watu kupigwa risasi wakiwa wanatoka kutoa hela mlimani city imeisha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unaetafuta uteuzi huna ujualo zaidi ya kuandika makala za mapambio ili walau ufikiriwe Kama Mtatiro.....Ila wamestuka we ni mnafki so hutapata chochote zaidi ya kushusha heshima yako kidogo iliyobaki! We ni hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
 
Attachments

  • IMG_20200406_163452.jpg
    IMG_20200406_163452.jpg
    10.2 KB · Views: 17
  • Domo,
  • kulipuka au kukurupuka
  • kutumia wasiojulikana,
  • kugongana kimaamuzi na mawaziri
  • Kutumia neno Mkoa wangu
  • kusaka wazururaji, wakati madaktari zaidi ya 2500 hawajaajiriwa. sijasema ya kada nyingine
  • ……………..
 
Tangu alipotangaza Lesbians & Gays people wakamatwe niliacha kumfatilia yule kaka....

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
1.Moja ya fanikio kubwa kabisa ni kuvunjwa kwa kiwanda cha madawa ya kulevya ( club billicanas) na mateja kupungua sana mitaa ya ufipa na manyanya.

2. Utekaji na watu kupigwa risasi wakiwa wanatoka kutoa hela mlimani city imeisha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mafanikio makubwa kabisa ni kundi la watu wasiojulikana kufanya kazi kwa ufanisi.
 
Kinondoni ikiwemo mitaa ya ufipa na mamyanya mpaka mkwajuni machangu na mateja chali.
Haya ni mafanikio mkuu, najua utabisha ila ndio ukweli.
 
Mimi nipo tayari kabisa huyu jamaa awe mwafrika pekee kufanyiwa majaribio ya ile chanjo.
 
Majibu yenu wadau 🤣 🤣 🤣 ,kwa kweli amefanikiwa kuweka cheo cha ukuu wa mkoa kueleweka kama ni upuuzi mtupu, anyone anayejua kubwabwaja anaweza kuwa mkuu wa mkoa.,including Becky🤣😉😉😉
 
Wakuu

Kama hii mada haijaanzishwa hapo nyuma, basi nadhani ni wakati muafaka wa kudadisi na kutafuta ukweli kuhusu utendaji kazi wa RC wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, Mimi Ningependa kujua faida au mafanikio aliyoweza kufanya tokea ATEULIWE kama RC wa Dar es Salaa.

Hili linakuja baada ya kumuangalia kwa jicho la tatu kauli zake za hivi karibuni kuhusu janga hili la Coronavirus. Huyu mtu kweli anafaa kwenye nafasi aliyo nayo?

Binafsi naona, kama Makonda anafaa sana kuwa mkuu wa kikosi cha utekaji na mauaji, basi kwa nini aendelee kuwa RC wa Dar?
Wivu tu,Makonda kaipa heshima kubwa DSM kama RC
 
Tunakufatilia kwakaribu sana kuna namna unahama tunasoma coordinates balaa
.na umeanza vya ingia kwenye mfumo ubadili mfumo we know that .ila we ni nabii eliya unamuachia mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom