Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,673
- 9,710
mbona sisi wakazi wa Kawe tunamkubali sana Makonda?
Makonda ni tatizo la lakimoja (100,000) na wewe ni shilingi 500 huwezi kumtatua ...chillAchana na jimbo la kawe mimi nimekuwa mkazi wa jimbo la kawe toka nazaliwa nakua na nafanya maisha yangu tofauti na kutoka kwenda kikazi ila nikirudi makazi yangu ni ndani ya ili jimbo.
Watu wa kawe hawapendi mtu mwenye shobo kujipendekeza kwa watawala kawe haitaki siasa maji taka inaitaji wanasiasa Walio na shule kichwani kiufupi matajiri na wasomi wakubwa wa nchi hii makazi yao ni kwenye ili jimbo.
Wakazi wa kawe usitegemee kuwadanganya vishule,vizahanati hawana cha kudanganywa wanajitambua na uchaguzi uwa wanafanya kama starehe tu.
Uwa wapo kimya lakini hawawezi kufanya ujinga wa kumpa jimbo mtu ambaye haeleweki kagombee uko Misungwi ila sio Kawe utapata aibu.
Labda wewe na mume wako tu.mbona sisi wakazi wa Kawe tunamkubali sana Makonda?
Makonda ana madharau kamwe hawezi shinda kwenye jimbo lenye wasomi wengi kama kawe.Watafute mtu mwingine wa ccm anaweza shinda ila sio Makonda bora yule Mtoto Wa Warioba aje tena.
Kwa awamu hii, Makonda atapata jimbo lolote analotaka
Hapo umeonyesha ubaguzi Mkuu
Mimi sikuwahi kuamini kama Mrema angeshinda jimbo la Temeke kutokana na nature ya siasa zilivyokuwa huko nyuma ila alishinda
Aliyesimamishwa na ccm ni Cisco Mtiro aliyekuwa mkuu wa itifaki foreign affairs, hivi wewe una status IPI ya kumzidi Cisco Mtiro?Hivi unamkumbuka aliyesimamishwa kugombea na mrema? Hata chizi asingempa kura.
Boss unamuongelea huyo Daudi albert Bashite, haramia wa vyeti vya shule, mwenye mahips aliyepigwa jeki na wachina ili angalao aweze kupata mtoto wa kuzugia???Achana na jimbo la kawe mimi nimekuwa mkazi wa jimbo la kawe toka nazaliwa nakua na nafanya maisha yangu tofauti na kutoka kwenda kikazi ila nikirudi makazi yangu ni ndani ya ili jimbo.
Watu wa kawe hawapendi mtu mwenye shobo kujipendekeza kwa watawala kawe haitaki siasa maji taka inaitaji wanasiasa Walio na shule kichwani kiufupi matajiri na wasomi wakubwa wa nchi hii makazi yao ni kwenye ili jimbo.
Wakazi wa kawe usitegemee kuwadanganya vishule,vizahanati hawana cha kudanganywa wanajitambua na uchaguzi uwa wanafanya kama starehe tu.
Uwa wapo kimya lakini hawawezi kufanya ujinga wa kumpa jimbo mtu ambaye haeleweki kagombee uko Misungwi ila sio Kawe utapata aibu.
Kwa awamu hii, Makonda atapata jimbo lolote analotaka
Una maana gani kusema Halima hana kazi maalumu? Mimi najua kwamba ni mbuge na anawakilisha wakazi wa kaweHilo nalo neno. Utasikia Halima kakosea kujaza fomu au hana kazi maalumu kwa hiyo ameenguliwa.
Ma fresh hao hawezi mjua Cisco Mtiro na unaweza kuta Siasa wamezianza 2015 baada kuingia kwa Magu Ikulu!!Aliyesimamishwa na ccm ni Cisco Mtiro aliyekuwa mkuu wa itifaki foreign affairs, hivi wewe una status IPI ya kumzidi Cisco Mtiro?
Sheikh Mtopea ndio alimbeba sana Mrema kukubalika Temeke hasa kwa jamii ya waislamu.