Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,761
- 5,276
PaskKiukweli RC wetu ana mafanikio mengi sana tatizo kuna watu wana wifu dhidi ya mafanikio yake. Hapa chini nayataja machache.
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . - JamiiForums
P
Sijaona umeorodhesha mafanikio ya huyu mtu hapo zaidi ya kumpa sifa in a needless to say, non-objective manner.Kiukweli RC wetu ana mafanikio mengi sana tatizo kuna watu wana wifu dhidi ya mafanikio yake. Hapa chini nayataja machache.
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . - JamiiForums
P
Kiukweli RC wetu ana mafanikio mengi sana tatizo kuna watu wana wifu dhidi ya mafanikio yake. Hapa chini nayataja machache.

Alivamia radio mawinu na kafanikiwa kumng'oa kwenye uwaziri mzee wa bao la mkonoWakuu
Kama hii mada haijaanzishwa hapo nyuma, basi nadhani ni wakati muafaka wa kudadisi na kutafuta ukweli kuhusu utendaji kazi wa RC wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, Mimi Ningependa kujua faida au mafanikio aliyoweza kufanya tokea ATEULIWE kama RC wa Dar es Salaa.
Hili linakuja baada ya kumuangalia kwa jicho la tatu kauli zake za hivi karibuni kuhusu janga hili la Coronavirus. Huyu mtu kweli anafaa kwenye nafasi aliyo nayo?
Binafsi naona, kama Makonda anafaa sana kuwa mkuu wa kikosi cha utekaji na mauaji, basi kwa nini aendelee kuwa RC wa Dar?
Kwa nini usianzishe uzi wa hasara alizosababisha? Naamini hauna.Wakuu
Kama hii mada haijaanzishwa hapo nyuma, basi nadhani ni wakati muafaka wa kudadisi na kutafuta ukweli kuhusu utendaji kazi wa RC wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, Mimi Ningependa kujua faida au mafanikio aliyoweza kufanya tokea ATEULIWE kama RC wa Dar es Salaa.
Hili linakuja baada ya kumuangalia kwa jicho la tatu kauli zake za hivi karibuni kuhusu janga hili la Coronavirus. Huyu mtu kweli anafaa kwenye nafasi aliyo nayo?
Binafsi naona, kama Makonda anafaa sana kuwa mkuu wa kikosi cha utekaji na mauaji, basi kwa nini aendelee kuwa RC wa Dar?
We unaetafuta uteuzi huna ujualo zaidi ya kuandika makala za mapambio ili walau ufikiriwe Kama Mtatiro.....Ila wamestuka we ni mnafki so hutapata chochote zaidi ya kushusha heshima yako kidogo iliyobaki! We ni hovyo kabisaKiukweli RC wetu ana mafanikio mengi sana tatizo kuna watu wana wifu dhidi ya mafanikio yake. Hapa chini nayataja machache.
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . - JamiiForums
P
1.Moja ya fanikio kubwa kabisa ni kuvunjwa kwa kiwanda cha madawa ya kulevya ( club billicanas) na mateja kupungua sana mitaa ya ufipa na manyanya.
2. Utekaji na watu kupigwa risasi wakiwa wanatoka kutoa hela mlimani city imeisha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu,Makonda kaipa heshima kubwa DSM kama RCWakuu