Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Sio Kila jambo ulianzishie thread kama upuuzi huu ulioandika hapa.
Mod stopisha Au futa kabisa uzi huu mpaka shauli dhidi ya makonda lililopo tume ya Maadili ya viongozi wa Umma litakapotelewa maamuzi
 
Nasikia sikuizi ukiwa unakwenda dar kutokea cal-me-j kama unabarua yenye muhuri wa kijiji pendwa unasafiri bure
 
Reactions: SDG
Ila tuache ushabiki hata kama jamaa anatuhumiwa ufeki, anachapa kazi kuliko ma RC wengi waliopita
kazi za kujionyesha kwenye media au kazi zipi ?.

ni operation ipi ya makonda imewahi kuwa successful ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…