Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Napenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
RC anayestahili kupongezwa ni Antony Mtaka wa Simiyu, hizi za akina Makonda ni blah blah za kuchota akili za wenye mitindio ya akili, period!
 
Ngoja tulale msijetuletea mapaka wakatusumbua usikuwamanane
 
RC anayestahili kupongezwa ni Antony Mtaka wa Simiyu, hizi za akina Makonda ni blah blah za kuchota akili za wenye mitindio ya akili, period!
Usitoke povu jaribu kujibu hoja iliyopo usianze kutoa lugha isiyo na maadili toa mifano ya hoja yako
 
Napenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
Kweli nimeamini njaa inaweza kumgeuza Mtu kuwa mtumwa, huyo Bashite ana ubunifu upi zaidi ya ule alioutumia kuiba vyeti vya watu na kumshawishi mama kairuki atamke uhakiki wa vyeti hauwahusu wanasiasa?
 
Makonda ndio chokoraa gan huyo

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

Watu wanataka maendeleo. Vyeti kama ingekuwa big deal maprof wasingeleta hizi wanazoleta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaongea pumba utafikiri wanaishi porini ambako hakuna mawasiliano yoyote wewe kama hujui kinachoendelea ulizia wananchi wa Dar maana mtu wa mkoani baadala ya kuangalia RC wake kafanya nn anatoa tu povu, watu wanataka mtu mbunifu wa kuwasaidia kutatua matatizo yao na sio kuleta mambo ya siasa. Jielekeze kwenye hoja
 
Makonda ana short comings zake...ila kuna mambo anayafanya vizuri. Tunagomea kwenye vyeti utafikiri hawa walio na vyeti ni super geniuses. Wengine have messed up beyond repair

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaongea pumba utafikiri wanaishi porini ambako hakuna mawasiliano yoyote wewe kama hujui kinachoendelea ulizia wananchi wa Dar maana mtu wa mkoani baadala ya kuangalia RC wake kafanya nn anatoa tu povu, watu wanataka mtu mbunifu wa kuwasaidia kutatua matatizo yao na sio kuleta mambo ya siasa. Jielekeze kwenye hoja
Dar es Salaam kinaendelea nini?
 
Hapo mwanzo huyu jamaa alikuwa anakubalika na wat weng sana..idadi ya watu wanaomkubali ikaja kupungua alivyoanzisha sakata la madawa ya kulevya..hapo ndipo wanafiki waliokuwa wanajifanya wanaunga mkono vita ya madawa ya kulevya walipomsaliti na kusema eti amekurupuka baada ya kusikia viongoz wao au watu wao wametajwa kuhusika na uuzaji na uingizwaji wa madawa ya kulevya nchin.ndipo yakazushwa mambo mengi juu ya makonda lakini jamaa alikaza buti akaendelea na majukumu yake bila wasi wasi...watu wamepiga kelele,wametukana kwenye mitandao,wamemfungia kurusha habari zake..lakini jamaa anaendelea kupiga kazi kama kawaida..tunataka viongoz wa namna hii sio viongozi wasema hovyo tu..wao kaz ya kupinga kila kitu
 
Hakuna mtu ''anapinga kila kitu", kwa hitimisho hilo uzi wako wote umeharibika, kajipange upya
 
Back
Top Bottom