Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Huwa naogopa sana mwanadamu kuitwa jembe Sijui unataka kumaanisha nini? kazi ya jembe haiwezi fanana na kazi ya RC Makonda.
 
Hapo mwanzo huyu jamaa alikuwa anakubalika na wat weng sana..idadi ya watu wanaomkubali ikaja kupungua alivyoanzisha sakata la madawa ya kulevya..hapo ndipo wanafiki waliokuwa wanajifanya wanaunga mkono vita ya madawa ya kulevya walipomsaliti na kusema eti amekurupuka baada ya kusikia viongoz wao au watu wao wametajwa kuhusika na uuzaji na uingizwaji wa madawa ya kulevya nchin.ndipo yakazushwa mambo mengi juu ya makonda lakini jamaa alikaza buti akaendelea na majukumu yake bila wasi wasi...watu wamepiga kelele,wametukana kwenye mitandao,wamemfungia kurusha habari zake..lakini jamaa anaendelea kupiga kazi kama kawaida..tunataka viongoz wa namna hii sio viongozi wasema hovyo tu..wao kaz ya kupinga kila kitu

Umesahau kuweka namba yako ya simu hapo chini.
 
aigwe na nani
 
For my experience to my academic level I can say that"through the social contract theory by Robert watkson said that"a leader is there to make happiness for few people but not for all people in a particular place"so to that moment there some people may rose in order to crashed that leader but to me,RC makonda is my favourite leader of my region of DAR ES SALAAM AS WELL AS PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI....THANKS
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Katika kitu ambacho tunajivunia sisi wakaz wa kolomije ni huyu kijana paul makonda

Huyu kijana ni zao bora kabisa la kolomije, wazee wa kolomije akina mama, vijana na watoto tunayofuraha kubwa kushukuru kwa aliye juu kwa kutupatia kijana huyu

Mungu mubalik zaid makonda wetu, najua atakuja kuwa mkubwa zaid hapo baadae

Makonda tuko tamoja na wewe piga kaz mwisho wa mkwaka njoo tukupige uganga wa kutosha

Ni mimi niliyetumwa na wanakolomije kuja kufikisha ujumbe huu

Mda si mrefu kolomije kitakuwa kijiji cha utalii

tapatalk_1506841446778.jpeg
makamanda wanamnyali kinoma dogo wa kolomije kama usa inavyomnyali dogo kim

LONDON BABY
 
Back
Top Bottom