Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri wako hautekelezeki, Makonda nje ya mfumo wa ccm ni dead body, wape ushauri huu watu kama Hussein Bashe, Msukuma, Gachuma,Jah people and likes watakuelewa.

Mo Dewji hakugombea tena ubunge ili asimamie biashara zake vizuri, haya niambie Makonda a.k.a Daud Bashite akipigwa chini ukuu wa mkoa achilia mbali kujiuzuru je atakwenda wapi? Muwe mnajipa muda wa kufikiri.
Kabla ya ukuu wa wilaya na sasa ukuu wa mkoa alikuwa wapi? hebu na wewe jipe muda wa kufikiri,pengine utatoka na hoja ya maana.
 
Napenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
 
na ubunifu huohuo ndo ameutumia kwenye vyetu, from bashite to madereva
 
Napenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
Tulia uandike vizuri ueleweke.
 
Napenda kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar kwa ubunifu anaozidi kuuonyesha kadri siku zinavyosonga, hakika anastahili sifa tungepata kama yeye kwenye mikoa mingine wananchi wangekuwa na imani kubwa na serikali ya awamu ya tano
Sawa dada

blame no body
 
Kuna utofauti mkubwa kati ya bora mkuu wa mkoa. na mkuu wa mkoa bora.
Kama makonda angekuwa ni mkuu wa mkoa bora angesipo wapelekesha puta wananchi wa dar es laam kama mbuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli makonda ni mbunifu, ameweza hata kubuni uvamia studio za clouds ili kupata kiki ! Ninampa 100% kwa ubunifu.
 
Labda ubunifu wake hauelezeki!!
Maana mleta post kashindwa hata kuutaja sisi he tutaujuaje?
 
Weka namba za simu akupunguzie pesa upate bando na uje umsifie tena ila kwa kufafanua vizuri. Punguza alaka ulihisi mtu atakuwahi nini kumpongeza

si sisiemu si sidiem ila ni MKEREKETWA
 
Weka namba za simu akupunguzie pesa upate bando na uje umsifie tena ila kwa kufafanua vizuri. Punguza alaka ulihisi mtu atakuwahi nini kumpongeza

si sisiemu si sidiem ila ni MKEREKETWA
RC MWENYE KUJUA NN ANACHOFANYA
SALUTE MAKONDA RC
 
Back
Top Bottom