Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hapa cheti tu
395d9c4ba1533aa3d28f4f72905cb482.jpg
anajitahidi kujifanya mbabe mbele za watu lakini deep inside he is very fragile
 
Huwenda akawa anabishana na wakati ila ukweli anaujua kama ni muda wake wa kuondoka,
Muda tayari umeshaongea ni vizuri akarejea kile alichokifanya MH LOWASA tena akiwa waziri mkuu
Kwa uswahiba wa JK na LOWASA watu walioutafuta urais pamoja tena kwa mkakati wa muda mrefu, wamekuwa na kupanda wote kisiasa ilingekuwa vigumu sana kwa JK kumtumbua lowasa mtu waliyesindikizana kuchukua fomu ya kuwania urais
Alichokifanya lowasa ilikuwa ni kuonyesha ukomavu wake wa kisiasa na sio tu kumnusuru swahiba wake ila kuilinda image yake ambayo baadae matunda yake tumekuja kuyashuhudia 2015,
RC MAKONDA bado nikijana na ana nguvu na Ari ya kulitumikia taifa bado ana muda wa kurudi tena huko mbele kama atatumia busara akang'atuka mwenyewe maana MKUU anaonyesha hayupo tayari kumtumbua
Asipoangalia atapotea kabisa kisiasa maana watu wanamfahamu MAKONDA na sio BASHITE
Ana vingi vya kujivunia anatakiwa kuondoka ili aje kuvitumia kama mifano huko mbele kidiasa,, kabla hajanyang'anywa hata kile alichonacho
 
Kwanza niwapongezen chama cha wahariri Tanzania kwa kuchukua uamuzi wa kufuta kulitaja jina la mh P.CM katika shughuli zenu za upashaji wa Habari hii imeonesha dhahili kuwa kuna watanzania wenye msimamo na wenye utambuzi wa majukumu yao nina iman kuwa swala hili ni changamoto kubwa sana ila kwa uwepo wa umoja wa namna hii ipo siku watu wataamin kuwa japo kuku hudonoa Nzi ila ipo sku na yy ataweza liwa na Nzi pia.

Pamoja na yote huo uamzi wa kishujaa na wa nia nzuri kwa wapenda Nchi wezetu ninapenda tuwape ushirikiano hawa ndg zetu kwan wamechukua Uamzi wa Busara hii imenipa pcha kuwa katika maisha kila mtu anajukum lake na ndo maana hata katika maisha kuna tajiri na masikin nimeamin uwepo wa wawatu hawa huchangia usawa katika mgawanyiko wa majukumu ujumbe katika swala hili ni kuwa kila mtu anao umhim katika nafasi yake hivyo haipaswi kumdharau mtu kutokana na kazi yake

Ila mtazamo huu umechukuliwa tofauti na Baadhi ya Vyombo vya habari hali ambayo naona inaelekea kupoteza lengo na matamanio ya watanzania wengi ambao hawakupendezewa na kitu alichokifanya huyu kijana mwenzetu ambayo ni kumtaka aachie madaraka kwa kuwa amekosa sifa za kuongoza Mkoa wa Dae es salaam.

Ushauri Wangu ni kuw kwa kuw kijana huyu amefanya kosa hili la kudhalilisha Nchi Akiwa anajulikana kwa jina la PAUL MAKONDA Ambalo inasemekana syo jina lake halali amelipata kutokana na kughushi vyeti vya elim na jina lake halali ni DAUDI ALBERT BASHITE Bas ningependekeza Taasis hii istumie jina la Paul Makonda Badala yake litumike jina lake la DAUD ALBERT BASHITE Katika kumzungumzia kero na malalamiko juu ya Mtu huyu hadi pale rais atakapo toa tamako juu ya hitaji la Watanzania tuliowengi juu ya Mtu huyu

Lengo na dhumun la kutaka jina hili litumike ni kwa sababu Kama jina lake litakataa kutajwa kwenye vyombo vya habari au mitandao ya kijamii itapelekea watu kusahau uovu wa mtu huyu kwan kila ukiandika jina lake litafutwa hali ambayo watu tutachoka kumzungumzia mtu huyu katika vyombo vya habari.

Tafadhari mood usifte uzi huu wala kuunganisha kwan nazungumza hivi kwa kuwa uz wangu wa mwanzo umeftwa. uliozungumzia kwann Jina la Bashite linaftwa jf?
 
VYOMBO VYA HABARI KUWENI NA MSIMAMO,MMEAMUA KUTOLITAJA JINA LAKE BASI NA IWE HIVYO.
KUMZUNGUMZIA WAKATI MMESHAKUBALIANA KUTOMWANDIKA NI KAMA VILE BILA YEYE HAMPATI CHA KUANDIKA. NYAMAZENI NA YEYE APUMUE. KWANZA WAANDISHI WENYEWE WAZIRI ALISHASEMA WENGI TAALUMA YENU.....
 
ww uko upande gan mkuu unamtetea bash syo?
 
Kwa tanzania hiyo kitu ni nafuu kubwa sana kwa Makonda maana atapumua!

We unafikiri kama siyo vyombo vya habari kelele zitapigiwa wapi?
 
Kwanza kabisa nikupongeze kwa kuwa na roho ngumu ya kuhimili maneno yote yanayosemwa juu yako, japo kidogo umeanza kulegea.

Ndugu makonda umekuwa machapakazi na mfano wa kuigwa kwa wakuu wote wa mikoa hapa Tanzania. Jinsi ulovyosolve matatizo ya wanainch wakati ule wa ziara yako ya DAR MPYA. Umejenga kituo cha akina mama pale mwananyamala, kwa juhudi zako barabara ile ya kurasini imejengwa kwa kiwango cha zege, kwa juhudi zako, walimu walipata kibali cha kusafiri bure jijini daslam, japo walikataa wenyewe kwa kuogopa kudhalilishwa na makondakta wa daladala. Mambo ni mengi sana lakin nimalizie na hili la madawa ya kulevya ambalo mpaka sasa linatrend. Hakuna mtu alishatokea Tanzania akafikia kiwango ulichofikia katika kudhibiti madawa ya kulevya. Umeweka standard ya juu sana, mateja wamejisalimisha sober house, wauza unga wameishi kwa mashaka, mikoa yote, kwa kufuata mfano wako, wamechoma sana mashamba ya bangi na mirungi.

Japo niwe mkweli kidogo, kwamba approach ulioitumia haiwezi kuwatia hatiani watuhumiwa, kwa sababu inawapa mwanya wa kuficha ushahidi. Lakin impact yake mtaani imeonekana, kweli madawa yamekuwa adimu.

Utendaji wako umedhihilika na hivyo kuwemo kwenye matarajio ya wengi kwamba unaweza kushika nafasi kubwa serikalini hapo baadae, na hii ndo maana imekutengenezea maadui ndani ya chama chako, (ukiachilia mbali wauza unga ambao uliwatangazia vita).

Tunao vijana watatu ndani ya chama chako, (nape mwigulu na january) ambao wanatazamiwa kuchukua nafasi za juu hapo baadae. Kuibuka kwako kunaweza zidisha ushindani katika nafasi hizo za juu, hasa ukizinga umekuwa kipenzi cha mkulu, inawatia wasiwasi sana. Hawa ndio maadui wako wapya. wengine wamekaa kimya lakin deep inside wanakupiga vita. nape alijidai anasimamia ukweli kwa sababu aliona ukweli huo unakuangamiza wewe, mbona wakati wa bunge live alisimamia lisioneshwe, mbona mswada kandamizi wa vyombo vya habari alisimamia mpaka ukawa sheria??? inamaana anamini katika bunge la gizani???

Kwenye suala la VYETI vyako vya kidato cha nne, kwa yaliyosemwa mpaka sasa, na wewe kushindwa kudhibitisha kwamba hujatumia vyeti vya mtu mwingine, ni dhahili una kosa hilo. Ambalo huwezi kulikwepa na ukasimama kwenye majukwaa ya kisiasa.

Ushauri wangu kwako ni kwamba rudisha mpira kwa kipa.

Ongea na mh raisi, achia ngazi, rudi shule. Bado unayo nafasi. Unaweza kusoma QT kwa miaka 2 ukafaulu form IV. Baada ya hapo soma certificate na diploma. 2020 ni mbali utakuwa ushamaliza. Alafu tukutane kwenye majukwaa ya kisiasa 2020. Umtu akiuliza cheti unakionesha, utakuwa umewamaliza. Sisi wanainch bado tutakumbuka utendaji wako, naamini utafanikiwa. Ukiendelea kung’ang’ania madaraka, akiondoka raisi anayekungia kifua akaja mwingine, hutabaki hapo ulipo na ndo utakuwa mwisho wa maisha yako kisiasa.

Do the right thing, bado una muda kwa sasa.

WABILLAH TAWFIQ
 
Yeye kwa nafasi yake anaweza kushauri na kusimamia hilo
The guy doesn't deserve to be called mheshimiwa! let's be serious! It's pathetic! why kuna watu hawaoni kama kuna tatizo katika uteuzi wake mtamsifia vipi katika utendaji wake? No wonder mzungu alisema ' It's useless to educate a black person I mean African man'
 
Ni mwaka mmoja sasa na siku kazaa tangu umekua mkuu wa mkoa wa Daresalama, na ni ukweli usiopingika kua yapo mengi uliyoyafanya mpaka baadhi ya watu wa mikoa mingine wakawa wanatumia kauli ya utani kua wamuombe Raisi akupe deiwaka ya kuongoza mikoa yao hata kwa wiki moja ili uwawekee sawa mambo yaliyokua hayaendi sawa katika mikoa yao na wakuu wa mikoa yao wameshindwa kuyafanyia kazi. Lkn pamoja na mazuri hayo wewe kama binadamu lazima uwe na mapungufu na kibaya zaidi mabaya ya mtu huonekana sana kuliko mazuri yake, lkn Leo naomba nikukumbushe machache tu ambayo kupitia haya naomba uufanyie kazi ushauri wangu hata kama utaona haufai Leo ila baadae utakufaa. Jambo la kwanza ni pale ulipo vamia clouds ukiwa na polisi wenye silaha, kwa kweli watanzania wengi hatukukuelewa yaani ukafanya hata waliokua wamenyamaza kuhusu kashfa ya vyet nao waongee vibaya juu yako maana mwanzo watu waliamini vyeti inaweza isiwe sababu ya wewe kushindwa kufanya kazi za ukuu wa mkoa lakin baada ya hili la clouds wengi wamekugeuka na umekua na maadui wengi kuliko unavo dhani kiasi kwamba mambo mengine mabaya yanapotokea watu huanza kuamini kua ni moja ya mbinu zako za kutaka kuwanyamazisha wanaofuatilia habari zako. Sasa nakuomba wewe kama kiongozi unaejitambua ni bora uachie ngazi katika nafasi yko ya ukuu wa mkoa ili uendelee na maisha yko kama kawaida ili kukuondoa ktk wingu la kuchukiwa na watanzania wengi zaidi. Naomba kuwasilisha ni ushauli tuu
 
Ushauri wako hautekelezeki, Makonda nje ya mfumo wa ccm ni dead body, wape ushauri huu watu kama Hussein Bashe, Msukuma, Gachuma,Jah people and likes watakuelewa.

Mo Dewji hakugombea tena ubunge ili asimamie biashara zake vizuri, haya niambie Makonda a.k.a Daud Bashite akipigwa chini ukuu wa mkoa achilia mbali kujiuzuru je atakwenda wapi? Muwe mnajipa muda wa kufikiri.
 
dah.....ushauri murua sana huu....ningekuwa mimi ndiye yeye ningekubariana na wewe moja kwa moja....lakini kwakuwa yeye ni bashite atajifanya paul....na ataona uhu ushauri haumuhusu ata kidogo
 
Ushauri wako hautekelezeki, Makonda nje ya mfumo wa ccm ni dead body, wape ushauri huu watu kama Hussein Bashe, Msukuma, Gachuma,Jah people and likes watakuelewa.

Mo Dewji hakugombea tena ubunge ili asimamie biashara zake vizuri, haya niambie Makonda a.k.a Daud Bashite akipigwa chini ukuu wa mkoa achilia mbali kujiuzuru je atakwenda wapi? Muwe mnajipa muda wa kufikiri.
Huyo jamaa awamu ya pombe kufika tamati huenda akakimbia kuishi nje ya Tanzania maana amechezea maslahi ya watu na kuchafua brand names zao.
 
nimekuelewa bro........ila akiacha ukuu wa mkoa itabidi akaishi kambi ya jeshi makutupora.......hahahahahahahahah........makonda komaaaaaaa husitoke hapo
 
Back
Top Bottom