Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Kijana mwenzangu elewa umekali kuti kavu na bahati mbaya maji yamezidi unga na kwa sasa ujue unasukuma tu siku.

Kijana mwenzangu,nina hakika hata alikuweka hapo ulipo hivi sasa anajilaumu ingawa hawezi kukuonyesha hali hiyo moja kwa moja japo anaweza kuwa ana cheka na wewe,n.k na pengine angejua haya yatakuja kutokea sidhani kama angekupa hiyo nafasi.

Kijana mwenzangu labda nikuulize. Je,unayakumbuka ya bwana "Chitwanga"?Huyu nae si alikuwa kipenzi cha mh.?Si unakumbuka tuhuma za bwana Chitwanga na jinsi Mkulu alivyojitahidi kumbeba? Lakini mwisho wa siku si unakumbuka nili kilimtokea?Nani alitarajia kuna siku angetimuliwa kwa style ile?

Sasa kijana mwenzangu nachotaka kukuonya hapa ni kuwa uwe macho na uelewe tu umekali kuti kavu na huenda jamaa anakulia timing na ukiharibu kidogo tu ujue nawe ya bwana Chitwanga yanaweza kukuta hivyo kama vipi jiondoe mwenyewe tu mapema.

Inawezekana anakupenda sana ila tambua tu mambo yameshaharibika na sasa lazima apime gharama ya kukupenda na kukuacha uendelee kuwepo hapo ulipo.

Labda jiulize kati ya wewe na bwana Chitwanga nani alikuwa mtu wa muhimu zaidi kwake na ukipata jibu natumai utajiongeza.

Akili ya kuambiwa...........
Changanya na zako maamy
 
Aweke vyeti mezani,hata alie machozi ya samaki hatutamwelewa,mbona simple tu ni kuweka vyeti tu.
 
Nimeamini, watanzania wengi mnaishi kwa kutegemea hela za wauza madawa ya kulevya, ndio maana Makonda kuanzisha vita ya dawa ya kulevya imewauma sana, maana mnaona mwisho wenu umefika.

Sasa ni hivi, vita ya madawa ya kulevya ipo palepale, hata mkipindisha ukweli vipi, na kututoa kwenye line ya kupambana na dawa za kulevya kwa kelele nyingi kiasi gani za maisha binafsi ya Makonda, mkatafute tu biashara halali mfanye, msitumalizie vizazi vyetu.

Vita ipo palepale

  • Thanks
Reactions: Ame

Mimi nahesabu siku tu.
 
vita vya madawa sio kichaka cha kuficha vilaza wanaotumia vyeti vya wengine
kamanda sianga ndie amepewa hilo jukumu....na hatujawahi kusikia mtu akimshambulia sianga ktk majukumu yake.
huyo kiumbe anatakiwa tu ajibu tuhuma zinazomkabili.asihusishe tuhuma hizi na vita vya madawa ya kulevya.
 
Hata hivyo vyeti vyake havimuathiri mtu yeyote lakini madawa ya kulevya yanamaloza vijana
 
Nimeamini, watanzania wengi mnaishi kwa kutegemea hela za wauza madawa ya kulevya, ndio maana Makonda kuanzisha vita ya dawa ya kulevya imewauma sana, maana mnaona mwisho wenu umefika.

Sasa ni hivi, vita ya madawa ya kulevya ipo palepale, hata mkipindisha ukweli vipi, na kututoa kwenye line ya kupambana na dawa za kulevya kwa kelele nyingi kiasi gani za maisha binafsi ya Makonda, mkatafute tu biashara halali mfanye, msitumalizie vizazi vyetu.

Vita ipo palepale

Hizi akili nyingine za kuku shida sana. Huu ni zaidi ya ubashite.

Kuombwa kutoa vyeti vyake kama kiongozi wa wananchi inahusiana vipi na madawa ya kulevya?!!
 
Tanzania tu ndio nchi pekee ambapo mtu kulia ni rahisi kuliko kuonyesha vyeti
 
Huyu Bwana hana jinsi ya kufunika ufidhuli huu!
Mamlaka yake ya ajira imeaibika sana!
Hana cheti huyo!
Saa hii haogopi kupoteza ajira Bali anaogopa jinai!
 
Mkuu wetu wa jiji la Dar tunakuomba usikatishwe tamaa na wahuni wachache wanaotumia mitandao kukuchafua kwa sababu za kitoto kabisa.Tulio wengi tuko nyuma yako.
 
Back
Top Bottom