Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Pongezi kuhusu nini? Kafanya nini? Kwanini watanzania tunakuwa wapuuzi namna hii? Shida sio ziro aliyopata Daudi Bashite, shida kwa nini anatumia jina lisilo lake Paul Makonda, ambapo ni kinyume cha sheria za nchi?
Una ushahidi gani?
 
Wala hakuna mtu anayehitaji Daudi awe na degree kuongoza mkoa. Wanachohitaji watu pamoja na Mungu ni kuwa mkweli, yaani usifanye udanganyifu katika jambo lolote, hususan suala la elimu as far as mjadala wa Daudi unahusika. Daudi anashambuliwa kwa kufanya udanganyifu wa jina na elimu na kujiwezesha kusoma certificate, diploma na degree. Wala hashambuliwi kwa kupata ZERO kidato cha nne. Hakuna Mungu anayeruhusu udanganyifu
Mbona mazuri aliyoyafanya hamyasemi?
 
Mungu wetu angekuwa na akili kama zenu nyie wanadamu mnaohukumu watu kuna mtu angebaki.
 
Watu kitu kile Wanataka ni sifa na mchakato wa elimu ya RC wa DSM. Kiongozi Na asiwe na Doa Au kulaumiwa. Asiwe na mawaaa. Kwa mapambamo ya mhadarati big up. Lakini hatumjui bashite
 
Hata Mimi Bashite nampongeza ukiachilia ile misifa ya kufukuzisha watu Nazi na ile ya mzee Warioba
Lakni kuhusu madawa ya kulevya AMETHUBUTU
Tuache Utani hata kama kaacha mapapa lakn angalau watu watikisika kwa hill
Kiongozi nanii aliethubutu hata kutaja MTU mmoja tuuu hakuna!!!!!!!!

Endelea hivo hivo Bashite inawezekana hip zero yako ndo uliokufanya ufanyr ulichofanya
Lakn wazaz tumefurahi maana tulikuwa na wasiwasi sana na vijana wetu kuharibika

Pls Magu usimwondoe Bashite wetu
 
Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni Zero
anao waongonza sijui Wanajisikiaje!!?
Alitaka kuwa makamu wa Rais!!

Usiusemee uchafu wa jirani yako
ikiwa kwako ni Maskani ya Nzi!!
 
Una ushahidi kuwa anatumia cheti cha mwingine?
Nahisi wewe si mtanzania, na kama we ni mtanzania basi. Huna kifaa chochote kinachokuletea habari mfani radio, TV hata simu huenda ni ya mkeo...ungekua navyo ungepata taaarifa zote kuhusu bashite kama sisi wenzio
Unafiki na kujipendekeza kwingine kunashusha hadi hadhi ya mtu

Unajipendekeza bwana maana una element zoote na akili yako ya kitoto hiyo.
 
Back
Top Bottom