mapanga3
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 665
- 635
Pole wewe kwa kuishi maisha ya maigizoPole

Kichw ndim....ukishajua maana yke hutoniandikia tenaWe ndo umenilea?
Ni sifuri lakini hajaghushi vyeti..si ndio?Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni Zero
anao waongonza sijui Wanajisikiaje!!?
Alitaka kuwa makamu wa Rais!!
Usiusemee uchafu wa jirani yako
ikiwa kwako ni Maskani ya Nzi!!
Haya kimbia Lumumba ukachukue pesa,akili mavi kabisa wewe.Namshukuru Mungu kwa uzima na Afya anayoendelea kumjalja Rais wetu John P Magufuli na Kijana shupavu Paul Makonda.
Najua kuna watu wengi watabeza pongezi hizi lakini najua Mungu yupo na anauna moyo wako na jitihada zako katika kulitumikia taifa letu.
Najua unapitia wakati mgumu hivi sasa hasa baada ya kuthubutu kurusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki (wauza madawa ya kulevya) lakini msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Nakusihi usiache kusimamia kile unachokiamini ili mradi humkosei Mungu. Ninachojua Mungu wetu hahitaji uwe na digrii ili umtumikie na wala hata hajui mambo ya vyeti na ndio maana maana maandiko husema Mungu hunyanyua vinyonge ili aviabishe vyenye nguvu.
Pia pamoja na pongezi hizi napenda kutoa ushauri kwa Mh Rais Magufuli kwamba kuna watu watenda Kazi waziri anaweza kuwapoteza kutokana na hili swala la uhakiki ambalo wengine wameligeuza kuwa agenda kwenye mitandao, maana watu wengi ambao ni wazuri kiutendaji wamekimbia baada ya kusikia zoezi hili wakiogopa kushitakiwa.
Naomba Mh uweke utaratibu wa kuwarejesha kazini lakini pia uwape muda wa kusoma. NAWATAKI MAISHA MAREFU PAUL MAKONDA NA RAIS MAGUFULI.
Kazii ipoo ...cjui nilinii atatumbuliwaa tu huyuu daudPongezi kuhusu nini? Kafanya nini? Kwanini watanzania tunakuwa wapuuzi namna hii? Shida sio ziro aliyopata Daudi Bashite, shida kwa nini anatumia jina lisilo lake Paul Makonda, ambapo ni kinyume cha sheria za nchi?
Umeongea vyema mkuu.. Mtu yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atamsifu na kumpongeza Bashite. Ila waliokuwa na maslahi flani flani kwenye biashara ya ngada, lazima wamuandame jamaa ili kumvunja moyo. Mungu amtangulie RC wetu katika vita hii..Hata Mimi Bashite nampongeza ukiachilia ile misifa ya kufukuzisha watu Nazi na ile ya mzee Warioba
Lakni kuhusu madawa ya kulevya AMETHUBUTU
Tuache Utani hata kama kaacha mapapa lakn angalau watu watikisika kwa hill
Kiongozi nanii aliethubutu hata kutaja MTU mmoja tuuu hakuna!!!!!!!!
Endelea hivo hivo Bashite inawezekana hip zero yako ndo uliokufanya ufanyr ulichofanya
Lakn wazaz tumefurahi maana tulikuwa na wasiwasi sana na vijana wetu kuharibika
Pls Magu usimwondoe Bashite wetu
unadhani mnavyotumika, hata hamjitambui ndo inaondoa ukweli kuwa Makonda kafoji vyeti, Endeleeni kuwatetea hao mafarao muda si mrefu mtajuta kuwajua.Wewe ndo unaona najipendekeza. Lakini naongea kutoka moyoni.
Uwe daudi uwe paulo wewe ni shujaa kwa kuwatupia bonge la jiwe wauza unga kwenye mzinga wao. wana hasira wanataka kukula nyama lakini umma uko na wewe.Namshukuru Mungu kwa uzima na Afya anayoendelea kumjalja Rais wetu John P Magufuli na Kijana shupavu Paul Makonda.
Najua kuna watu wengi watabeza pongezi hizi lakini najua Mungu yupo na anauna moyo wako na jitihada zako katika kulitumikia taifa letu.
Najua unapitia wakati mgumu hivi sasa hasa baada ya kuthubutu kurusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki (wauza madawa ya kulevya) lakini msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Nakusihi usiache kusimamia kile unachokiamini ili mradi humkosei Mungu. Ninachojua Mungu wetu hahitaji uwe na digrii ili umtumikie na wala hata hajui mambo ya vyeti na ndio maana maana maandiko husema Mungu hunyanyua vinyonge ili aviabishe vyenye nguvu.
Pia pamoja na pongezi hizi napenda kutoa ushauri kwa Mh Rais Magufuli kwamba kuna watu watenda Kazi waziri anaweza kuwapoteza kutokana na hili swala la uhakiki ambalo wengine wameligeuza kuwa agenda kwenye mitandao, maana watu wengi ambao ni wazuri kiutendaji wamekimbia baada ya kusikia zoezi hili wakiogopa kushitakiwa.
Naomba Mh uweke utaratibu wa kuwarejesha kazini lakini pia uwape muda wa kusoma. NAWATAKI MAISHA MAREFU PAUL MAKONDA NA RAIS MAGUFULI.
Namshukuru Mungu kwa uzima na Afya anayoendelea kumjalja Rais wetu John P Magufuli na Kijana shupavu Paul Makonda.

Mazuri ni wajibu wake, hakuna mtu anayeajiriwa afanye madudu kwa hiyo ukifanya madudu utashambuliwa tu, na ukifanya mazuri hakuna ulazima wa kusifiwa kwa maana uliajiriwa kwa ajili hiyoMbona mazuri aliyoyafanya hamyasemi?
Kwa akili yako finyu unadhani elimu anayezungumzwa kwenye biblia ni haya makaratasi yenu na division zenu.Nyamtalakyono,
Hivi wewe una Divison 0 ipi, ya F4 au F6.??
Mtu yeyote makini au mwenye elimu ya kusoma Saikolojia ya mtu. thread yako inaonyesha kuwa na wewe ni mmoja wa kina Daudi Bashite a.k.a Paulo Makonda na ndo maana unampongeza mtu aliye fail kwa kupata DARAJA SIFURI(DIVISION 0)!! Nakushauri tu usidanganyike na hilo sekeseke la Makonda wala usifikiri kuwa Magufuli atakuja ruhusu wenye zero na vilaja kuajiriwa kwene serikali yake zadi ya Makonda mtoto pendwa.
Nakuomba sana usijitafutie hukumu kwa kudanganya watu ati ya kwamba Mungu hahitaji Digrii kuwatumikia watu! Hiyo siyo kweli na ni urongo mtupu maana Mungu wetu katika Kitabu cha Mithali 4:13 : anasema: ''MKAMATE SANA ELIMU USIMWACHE AENDE ZAKE MAANA NI UZIMA WAKO''
Kwa hiyo unapoleta ngonjera za kumpongeza huyu Daudi Bashite kwa kuendelea kuongoza Jiji la Kibiashara la Dar akiwa na zero yake mfukoni na kichwani hakika HUSOMKETI na HUELEWEKI.
Mkulu anamtafutia ofisi ya Ubalozi huko nje ili akajifiche huko Dua za akina Manji, Gwajma, mbowe, wema nk zisimkute.Kijana mwenzangu elewa umekali kuti kavu na bahati mbaya maji yamezidi unga na kwa sasa ujue unasukuma tu siku.
Kijana mwenzangu,nina hakika hata alikuweka hapo ulipo hivi sasa anajilaumu ingawa hawezi kukuonyesha hali hiyo moja kwa moja japo anaweza kuwa ana cheka na wewe,n.k na pengine angejua haya yatakuja kutokea sidhani kama angekupa hiyo nafasi.
Kijana mwenzangu labda nikuulize. Je,unayakumbuka ya bwana "Chitwanga"?Huyu nae si alikuwa kipenzi cha mh.?Si unakumbuka tuhuma za bwana Chitwanga na jinsi Mkulu alivyojitahidi kumbeba? Lakini mwisho wa siku si unakumbuka nili kilimtokea?Nani alitarajia kuna siku angetimuliwa kwa style ile?
Sasa kijana mwenzangu nachotaka kukuonya hapa ni kuwa uwe macho na uelewe tu umekali kuti kavu na huenda jamaa anakulia timing na ukiharibu kidogo tu ujue nawe ya bwana Chitwanga yanaweza kukuta hivyo kama vipi jiondoe mwenyewe tu mapema.
Inawezekana anakupenda sana ila tambua tu mambo yameshaharibika na sasa lazima apime gharama ya kukupenda na kukuacha uendelee kuwepo hapo ulipo.
Labda jiulize kati ya wewe na bwana Chitwanga nani alikuwa mtu wa muhimu zaidi kwake na ukipata jibu natumai utajiongeza.
Akili ya kuambiwa...........