Tumeamua kukwepa wajibu kama wazazi. Tunaye wa kumnyooshea kidole. Mungu atupe nini tena!!?Mmeshindwa kuwasimamia watoto mliozaa wenyewe mmeishia kuwapa Simu. Mnategemea nini.
Unafiki na kujipendekeza kwingine kunashusha hadi hadhi ya mtuNamshukuru Mungu kwa uzima na Afya anayoendelea kumjalja Rais wetu John P Magufuli na Kijana shupavu Paul Makonda.
Najua kuna watu wengi watabeza pongezi hizi lakini najua Mungu yupo na anauna moyo wako na jitihada zako katika kulitumikia taifa letu.
Najua unapitia wakati mgumu hivi sasa hasa baada ya kuthubutu kurusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki (wauza madawa ya kulevya) lakini msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Nakusihi usiache kusimamia kile unachokiamini ili mradi humkosei Mungu. Ninachojua Mungu wetu hahitaji uwe na digrii ili umtumikie na wala hata hajui mambo ya vyeti na ndio maana maana maandiko husema Mungu hunyanyua vinyonge ili aviabishe vyenye nguvu.
Pia pamoja na pongezi hizi napenda kutoa ushauri kwa Mh Rais Magufuli kwamba kuna watu watenda Kazi waziri anaweza kuwapoteza kutokana na hili swala la uhakiki ambalo wengine wameligeuza kuwa agenda kwenye mitandao, maana watu wengi ambao ni wazuri kiutendaji wamekimbia baada ya kusikia zoezi hili wakiogopa kushitakiwa.
Naomba Mh uweke utaratibu wa kuwarejesha kazini lakini pia uwape muda wa kusoma. NAWATAKI MAISHA MAREFU PAUL MAKONDA NA RAIS MAGUFULI.
Wewe ndo unaona najipendekeza. Lakini naongea kutoka moyoni.Unafiki na kujipendekeza kwingine kunashusha hadi hadhi ya mtu
Namshukuru Mungu kwa uzima na Afya anayoendelea kumjalja Rais wetu John P Magufuli na Kijana shupavu Paul Makonda.
Najua kuna watu wengi watabeza pongezi hizi lakini najua Mungu yupo na anauna moyo wako na jitihada zako katika kulitumikia taifa letu.
Najua unapitia wakati mgumu hivi sasa hasa baada ya kuthubutu kurusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki (wauza madawa ya kulevya) lakini msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Nakusihi usiache kusimamia kile unachokiamini ili mradi humkosei Mungu. Ninachojua Mungu wetu hahitaji uwe na digrii ili umtumikie na wala hata hajui mambo ya vyeti na ndio maana maana maandiko husema Mungu hunyanyua vinyonge ili aviabishe vyenye nguvu.
Pia pamoja na pongezi hizi napenda kutoa ushauri kwa Mh Rais Magufuli kwamba kuna watu watenda Kazi waziri anaweza kuwapoteza kutokana na hili swala la uhakiki ambalo wengine wameligeuza kuwa agenda kwenye mitandao, maana watu wengi ambao ni wazuri kiutendaji wamekimbia baada ya kusikia zoezi hili wakiogopa kushitakiwa.
Naomba Mh uweke utaratibu wa kuwarejesha kazini lakini pia uwape muda wa kusoma. NAWATAKI MAISHA MAREFU PAUL MAKONDA NA RAIS MAGUFULI.
Unajipendekeza bwana maana una element zoote na akili yako ya kitoto hiyo.Wewe ndo unaona najipendekeza. Lakini naongea kutoka moyoni.
Ukiachana na umbeya wa mtaani , unao ushahidi wa yote uliyoyasema?.Pongezi kuhusu nini? Kafanya nini? Kwanini watanzania tunakuwa wapuuzi namna hii? Shida sio ziro aliyopata Daudi Bashite, shida kwa nini anatumia jina lisilo lake Paul Makonda, ambapo ni kinyume cha sheria za nchi?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Najua hiyo shukrani kwa kununuliwa tekno werevaaa..,si kwa uandishi huo
Wala hakuna mtu anayehitaji Daudi awe na degree kuongoza mkoa. Wanachohitaji watu pamoja na Mungu ni kuwa mkweli, yaani usifanye udanganyifu katika jambo lolote, hususan suala la elimu as far as mjadala wa Daudi unahusika. Daudi anashambuliwa kwa kufanya udanganyifu wa jina na elimu na kujiwezesha kusoma certificate, diploma na degree. Wala hashambuliwi kwa kupata ZERO kidato cha nne. Hakuna Mungu anayeruhusu udanganyifu... Ninachojua Mungu wetu hahitaji uwe na digrii ili umtumikie na wala hata hajui mambo ya vyeti na ndio maana maana maandiko husema Mungu hunyanyua vinyonge ili aviabishe vyenye nguvu.