Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Vyeti kwanza.
Mkuu wetu wa jiji la Dar tunakuomba usikatishwe tamaa na wahuni wachache wanaotumia mitandao kukuchafua kwa sababu za kitoto kabisa.Tulio wengi tuko nyuma yako.
aHSANTE KWA KUTUPOTEZEA MUDA .....Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
Vipi, mmeoleana! Qualification YA KWANZA ya kazi serikalini ni CERTIFICATE walau ya Form Four. Vipi shemejio au mume mwenzio Bashite anacho?