gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
mweeeh kama wewe ndo mpiga debe wake nampa pole sanaa.Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
yaani mtu ambaye hata kuandika hujui ndo kupiga debe utaweza?