mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Kamsujudie gwajima mwenye busaraIn ajabu..MTU asiye busara mnamsujudia!!!
Weka vyako tuvioneHAPA VYETI TU
Mpaka mbaki arosto mkatibiwe Makonda nyooshaNenda kasafishe vyoo vya lum----
Ova
Karibu mjiniHuyu katoka wapi tena.. Ni kama hakuwepo katika sayari hii pekee inayosapoti maisha..
kwanini kaondoka kimya kimya tu SA jamaa bwege tuHakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
Ulitaka akuage kwa kua we mkewe?????? Fanya yako majungu sio mtajikwanini kaondoka kimya kimya tu SA jamaa bwege tu
kwa haya majibu yako kama darasani kwenu kulikua na ziro mbili basi moja na BASHITE nyingine ya kwakoUlitaka akuage kwa kua we mkewe?????? Fanya yako majungu sio mtaji
alete vyeti jamaaa na pride ndio kilicho mshusha mwisho wa pride ni shame hata vitabu vya dini vinasema hivoUlitaka akuage kwa kua we mkewe?????? Fanya yako majungu sio mtaji
Na adhabu ya umbea miaka mingapi?Adhabu ya kughushi nyaraka ni miaka 7 jela
walio nunua vyeti vya watu ni wengi sana ndio maana mnatoka povu humu ndani ,,,,ha ha ha ha ha haNa adhabu ya umbea miaka mingapi?
Moja tuligawana nawe si una zero???kwa haya majibu yako kama darasani kwenu kulikua na ziro mbili basi moja na BASHITE nyingine ya kwako
sasa kwa nini anajiliza mtu mzimaaNa adhabu ya umbea miaka mingapi?
Kwa kweli ni aibu. Alete tu vyeti mambo yaishe.Nakushauri uache kuyachochea haya mambo.
Maana ninyi ndiyo mnaoendelea kufanya haya mambo yasiishe.
Mpaka sasa hakuna anayeujua Ukweli, siyo wale wanaomsifia wala wale wanaompinga.
Kama kuna Upande una Ushahidi Ulete huu mjadala Uishe.
Nchi inashindwa kufanya mambo ya muhimu kisa mtu mmoja, NI AIBU.
Ila majibu ya watendaji wa manispaa ni mazuri Kwa kushidwa kutakua kero za wananchi wanyonge walivuna walichopandaalete vyeti jamaaa na pride ndio kilicho mshusha mwisho wa pride ni shame hata vitabu vya dini vinasema hivo
saizi sura yake ataiweka wapi faliure anaetukana watu eti Wapuuzi kwenye mkutano wa hadhara
sasa kati ya yeye na hao aliokua anawatukana mbele ya watoto wao nani mjinga
Kasoro vyeti tu...Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
Ila bwege jibu la aliyepata A???kwa haya majibu yako kama darasani kwenu kulikua na ziro mbili basi moja na BASHITE nyingine ya kwako