Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Mithali 11
1 Mizani ya hadaa ni chukizo kwa Bwana; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.

2 Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu; Bali hekima hukaa na wanyenyekevu.

3 Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza.

4 Mali hazifaidii kitu siku ya ghadhabu; Bali haki huokoa na mauti.

5 Haki yake mtu mkamilifu itamwongoza njia yake; Bali mtu mwovu ataanguka kwa uovu wake.

6 Haki yao wenye haki itawaokoa; Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe.

7 Mtu mwovu atakapokufa, taraja lake lapotea; Na matumaini ya uovu huangamia.

8 Mwenye haki huokolewa katika dhiki, Na mtu mwovu ataiingia badala yake.

9 Asiyemcha Mungu humpoteza jirani yake kwa kinywa chake; Bali wenye haki watapona kwa maarifa.

10 Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu waangamiapo, watu hupiga kelele.

11 Mji hutukuzwa kwa mbaraka wa mwenye haki; Bali mji hupinduliwa kwa kinywa cha mwovu.

12 Asiye na akili humdharau mwenziwe; Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza.

13 Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Bali mwenye roho ya uaminifu husitiri mambo.

14 Pasipo mashauri taifa huanguka; Bali kwa wingi wa washauri huja wokovu.

15 Amdhaminiye mgeni hakosi ataumia; Achukiaye mambo ya dhamana yu salama.

16 Mwanamke wa adabu huheshimiwa daima; Na watu wakali hushika mali siku zote.

17 Mwenye rehema huitendea mema nafsi yake; Aliye mkali hujisumbua mwili wake.

18 Mtu mwovu hupata mshahara wa udanganyifu; Apandaye haki ana thawabu ya hakika.

19 Haki huelekea uzima; Afuataye maovu hufuata mauti yake mwenyewe.

20 Wenye kuhalifu moyoni ni chukizo kwa Bwana; Walio wakamilifu katika njia zao humpendeza.

21 Hakika, mtu mwovu hatakosa adhabu; Bali wazao wa wenye haki wataokoka.

22 Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili.

23 Haja ya mwenye haki ni mema tu; Bali kutaraji kwake mtu mwovu ni ghadhabu.

24 Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi; Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji.

25 Nafsi ya mtu mkarimu itawandishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe.

26 Awanyimaye watu nafaka, watu watamlaani; Auzaye nafaka, baraka itakuwa kichwani pake.

27 Atafutaye mema kwa bidii hutafuta fadhili; Atafutaye madhara, hayo yatamjia.

28 Azitegemeaye mali zake ataanguka; Mwenye haki atasitawi kama jani.

29 Ataabishaye nyumba yake mwenyewe ataurithi upepo; Mpumbavu atakuwa mtumwa wa mtu mwenye moyo wa akili.

30 Mazao ya mwenye haki ni mti wa uzima; Na mwenye hekima huvuta roho za watu.

31 Tazama, mwenye haki atalipwa duniani; Basi mwovu na mkosaji si mara nyingi zaidi?
Na adhabu ya umbea miaka mingapi?
 
kambi7 unaropoka wakati mwenzio kakimbia Daud Bashite mtu wa kujiongeza namsifu kwa hilo
 
Ndo adhabu ya umbea na uzandiki na unafiki hii???
 
Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
hehee labda la kolomije huko jembe linalia machozi heheheyaa na mbona kwenye ile sherehe ya kina mama hatujamuona?
 
Na hili la kumiliki mali nyingi ndani ya muda mfupi mbona muda unakatika na hatoki hadharani kulikana? Au ndio tu amini Na yy ni swahiba ya walanguzi wa unga? Au ameishatwibia tuliozoea kuibiwa na punde tunasahau na kuanza kuwatetea wezi ktk kisingizio cha vyama? Au ndio tuamini kuwa mbwembwe zote ni kutengeneza moshi ili wahusika wa madawa wapenyee? Kama sivyo wamemtaja hadharani kwa nini hakani?
 
Hatuangalii vyeti tunaangalia utendaji wake wa kazi.
 
hehee labda la kolomije huko jembe linalia machozi heheheyaa na mbona kwenye ile sherehe ya kina mama hatujamuona?
Madawa hatari kwa afya yako nenda mwananyamala wanatibu kabla ufahamu wako haujapotea
 
Wanaomtetea Bashite kwenye Tuhuma za kuforge vyeti ni aidha na wao wameforge hivo wanaona ni kitendo cha kawaida au walipiga FAFAFAFAFAFAFA na sasa wamepewa fursa na hizo FAFAFAFAFAFA zao, angalizo msituharibie watoto maana wanaweza wakaona Wakipiga FAFAFAFAFAFAFA Wataforge vyeti na mambo yataenda
 
Na hili la kumiliki mali nyingi ndani ya muda mfupi mbona muda unakatika na hatoki hadharani kulikana? Au ndio tu amini Na yy ni swahiba ya walanguzi wa unga? Au ameishatwibia tuliozoea kuibiwa na punde tunasahau na kuanza kuwatetea wezi ktk kisingizio cha vyama? Au ndio tuamini kuwa mbwembwe zote ni kutengeneza moshi ili wahusika wa madawa wapenyee? Kama sivyo wamemtaja hadharani kwa nini hakani?
Ni vyema umshauri mgombea wako lowassa atekeleze hili kwanza
 
Back
Top Bottom