Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Endelea kujipa moyo sio vibaya kujifariji dawa itazidi kupenya mpaka madawa yaondeke mjini
Daudi kukimbia Dar kunahusika vipi na Madawa au ulitaka nikwambie Daudi Bashite alipata Zero akachukua cheti cha Paulo ila Daudi Ninja sana mtu wa kujiongeza sana alifeki vyeti akatoboa tulipostuka akaanza kulia akaona hatumuelewi akakimbia
 
Wanaomtetea Bashite kwenye Tuhuma za kuforge vyeti ni aidha na wao wameforge hivo wanaona ni kitendo cha kawaida au walipiga FAFAFAFAFAFAFA na sasa wamepewa fursa na hizo FAFAFAFAFAFA zao, angalizo msituharibie watoto maana wanaweza wakaona Wakipiga FAFAFAFAFAFAFA Wataforge vyeti na mambo yataenda
kambi7 ndio kapiga FAFAFAFAFAFAFAFAFAFAFAFAFA saizi amantetea zero mwenzie
 
Acha majungu we kijana wa kiume maisha binafsi ya mtu hayata kusaidia
 
kambi7 ndio kapiga FAFAFAFAFAFAFAFAFAFAFAFAFA saizi amantetea zero mwenzie
ikibidi tuanze kuwataja maana kuforge vyeti sio jambo la kuchekea chekea tu, eti anaandamwa kwa sababu anapambana na ma agent wa drug, Mapambano ya kuwatangazia waende wenyewe central tena baada ya siku kadhaa? ili iweje waharibu ushahidi au? mapambano ya kipumbavu kabisa yaliyokosa mkakati ndiyo hayo mnayoyasifia au kuna mapambano mengine? mnakera sana
 
Wanaomtetea Bashite kwenye Tuhuma za kuforge vyeti ni aidha na wao wameforge hivo wanaona ni kitendo cha kawaida au walipiga FAFAFAFAFAFAFA na sasa wamepewa fursa na hizo FAFAFAFAFAFA zao, angalizo msituharibie watoto maana wanaweza wakaona Wakipiga FAFAFAFAFAFAFA Wataforge vyeti na mambo yataenda
Na mashoga wana watoto sikujua hahaha MAKONDA nyoosha hatutaki madawa mtaani
 
Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
Hivi kihiyo anaweza kuwa jembe kweli.No wonder ameingia choo cha kike,kwa sababu ya ukihiyo wake.He real miscalculated his move.Ukihiyo ni very expensive.
 
Hivi kihiyo anaweza kuwa jembe kweli.No wonder ameingia choo cha kike,kwa sababu ya ukihiyo wake.He real miscalculated his move.Ukihiyo ni very expensive.
Duuu wahi mwananyamala ukapate tiba ya methadone kabla ufahamu wako haujapotea
 
acha kulia leta cheti
Huyu anacheka?
11be87cc6a6024ed58b4ec5023f72685.jpg
 
Nafikiri kuna umuhimu wa hizi thread zingine tusi comment kabisa coz ni upuuzi mtupu. Nafikiri uliandika bila kushirikisha kichwa chako la sivyo hata wewe ni zero brain tu kama huyo Bashite.
Kwani uliitwa?
 
Na mashoga wana watoto sikujua hahaha MAKONDA nyoosha hatutaki madawa mtaani
Hatuhitaji microscope Kubain i FAFAFAFAFA ebu mchunguzeni huyu kambi7 maana haiwezekani mtu asielewe jambo lililoandikwa kwa kiswahili,haya Kufeli na mashoga kuna uhusiano gani?
 
Back
Top Bottom