Sijakuelewa unazungumza nini au unamzungumzia huyu jambazi wa vyeti Daud Bashite?Acha majungu we kijana wa kiume maisha binafsi ya mtu hayata kusaidia

Hazifiki kb huyu ana byte. Aonyeshe na vyeti kwanza then afanye hayo uliyomshauri
Usibibeshe ubongo wake mzigo GB wakati capacity ni kb
Kama zile za floppy disk?Hazifiki kb huyu ana byte
Geehte geehte!!! (ni kisukuma hicho)Kama zile za floppy disk?
Tafadhali weka mambo sawa, unamuongelea Paul Makonda au Daudi albert Bashite wa Koromije?Wana jf.
Haya ni baadhi tu ya maendeleo mheshimiwa mkuu wa mkoa Paul Makonda ameyafanya ambayo kwa sisi wazawa halisi wa Dar Es Salaam tuliokuwepo tokea Enzi hizo mkoa unaitwa Mzizima tunakiri hakuna mkuu yoyote wa mkoa aliyewahi kuyafanya. ;
a) USAFI WA JIJI ; Toka mheshimiwa Paul Makonda aingie madarakani Jiji limekuwa safi kabisa tofauti na zamani jiji lilikuwa chafu linanuka uvundo.
b) UPANDAJI MITI : Mheshimiwa mkuu wa mkoa ameongoza kampeni ya upandaji miti jijini sasa hivi kila kata ina miti ya kutosha miaka michache ijayo lili litakuwa linapendeza kama New York Marekani.
c) AJIRA KWA VIJANA : Mheshimiwa Makonda amewapatia ajira vijana wengi sana hasa hasa Kinondoni kwa kampeni zake za kuvumbua vipaji sasa hivi maisha ya vijana wengi yamebadilika na kuwa mazuri sana.
d) MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI NA WANAWAKE.: Mheshimiwa mkuu wa mkoa ametoa mikopo mingi sana kwa vikundi vya vijana na wanawake wa mkoa wetu wa Dar sasa hivi hakuna wanawake wanaoshinda vibarazani kupiga umbea wote wako kwenye biashara zao wanachapa kazi.
Haya ni baadhi tu kuna mengi sana ya maendeleo ameyafanya ambayo sisi kama wazawa halisi wa mkoa tumeridhika na utendaji kazi wake tunatamani sana kama inawezekana mkuu wetu wa mkoa atuongoze milele ili wana Dar tuendelee kufaidika na utendaji kazi wake uliotukuka.
Usituhusishe Wanadar es salaam na walioghushi vyeti. Kamwambie aliyekutuma aonyeshe uhalalinwake wa elimu na kwa nini amedanganya ili kupata vyeo.Wana jf.
Haya ni baadhi tu ya maendeleo mheshimiwa mkuu wa mkoa Paul Makonda ameyafanya ambayo kwa sisi wazawa halisi wa Dar Es Salaam tuliokuwepo tokea Enzi hizo mkoa unaitwa Mzizima tunakiri hakuna mkuu yoyote wa mkoa aliyewahi kuyafanya. ;
a) USAFI WA JIJI ; Toka mheshimiwa Paul Makonda aingie madarakani Jiji limekuwa safi kabisa tofauti na zamani jiji lilikuwa chafu linanuka uvundo.
b) UPANDAJI MITI : Mheshimiwa mkuu wa mkoa ameongoza kampeni ya upandaji miti jijini sasa hivi kila kata ina miti ya kutosha miaka michache ijayo lili litakuwa linapendeza kama New York Marekani.
c) AJIRA KWA VIJANA : Mheshimiwa Makonda amewapatia ajira vijana wengi sana hasa hasa Kinondoni kwa kampeni zake za kuvumbua vipaji sasa hivi maisha ya vijana wengi yamebadilika na kuwa mazuri sana.
d) MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI NA WANAWAKE.: Mheshimiwa mkuu wa mkoa ametoa mikopo mingi sana kwa vikundi vya vijana na wanawake wa mkoa wetu wa Dar sasa hivi hakuna wanawake wanaoshinda vibarazani kupiga umbea wote wako kwenye biashara zao wanachapa kazi.
Haya ni baadhi tu kuna mengi sana ya maendeleo ameyafanya ambayo sisi kama wazawa halisi wa mkoa tumeridhika na utendaji kazi wake tunatamani sana kama inawezekana mkuu wetu wa mkoa atuongoze milele ili wana Dar tuendelee kufaidika na utendaji kazi wake uliotukuka.
Tunataka vyeti!!!!!!!Wana jf.