Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
hawa waliolike akili zenu wote sawa
 
Vipi, mmeoleana! Qualification YA KWANZA ya kazi serikalini ni CERTIFICATE walau ya Form Four. Vipi shemejio au mume mwenzio Bashite anacho?
Peleka chako kama ndo hivyo, makonda tunyooshee watu kama hawa mpaka wajitambue
 
Sasa sisi dar jembe la kazi gani tupapalilie maua?
 
Rekebisha title andika DAUDI ALBERT BASHITE
 
mweeeh kama wewe ndo mpiga debe wake nampa pole sanaa.
yaani mtu ambaye hata kuandika hujui ndo kupiga debe utaweza?
Hapa kazi tu majungu tuachie waimba taarabu Makonda nyoosha watu kama hawa wasiofanya kazi nakufatilia maisha ya watu
 
Juu koromije,misungwi kule usukumani lakini so hapa mjini,hapa mjini hatulimi hatuna majembe.
Ndo linalima mnatetemeka mpaka mnashidwa kujielewa nakushikiwa akili na gwajima
 
Hapa kazi tu majungu tuachie waimba taarabu Makonda nyoosha watu kama hawa wasiofanya kazi nakufatilia maisha ya watu
athubutu aje kwangu...............
mie nina vyeti sanduku zima siko kama yeye
aanze kwanza na wewe usojua kuandika
 
Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
Jembe la dar koleo la kolomije
 
Back
Top Bottom