Wao wanafanya biashara boi
Na rc wenu anaishi kama celebrity ili muda wote aonekane kwenye media.[/QUOT
Ndo hapo utakapojua tasnia ya Habari ilivyo, huwezi kuwapangia kwakuwa nao wanatafta soko la kila aina ya mlaji wa habari.
Nitajie wewe unayejua sifa za mkuu wako wa Mkoa., halafu rudi kwenye komenti yangu ya kwanza kama uliielewa, usibishane tu kuojionesha kwangu kuwa nawewe mwanaharakati UCHWARA.Jibu swali acha kutetea upuuzi, sheria za nchi zinasemaje mtu akifoji?
Nakuunga mkono pastorUkiacha madhaifu yake Makonda anachapa kazi sana!
Wanamuogopa kinoma aisee ndo maana kila siku wanamuanzishia majungu na fitinaWauza madawa chadema ,wakisikia Makonda wanatoka ndukiiiiiii
Ajiendeleze na niniMakonda ajiendeleze
Hahaaa wewe jamaa naona umevurugwa kweli ngoja nikuache kama ulivyo na uchiz wako, sitaki kubishana na kichaa kama weweHata wewe unatakiwa uwe shule mpuuzi mkubwa, hata kiswahili kinakushinda?
Nan afute uz? Umelogwa niniSio Kila jambo ulianzishie thread kama upuuzi huu ulioandika hapa.
Mod stopisha Au futa kabisa uzi huu mpaka shauli dhidi ya makonda lililopo tume ya Maadili ya viongozi wa Umma litakapotelewa maamuzi
Una ushahid we chiz au unaropoka tu hapa na njaa zakoJibu hoja mpuuzi wewe, mwanasiasa anaruhusiwa kufoji jina au unatetea uchizi wako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
Don't personalize, BE OBJECTIVE.
😛😛 huo uandishi wako wa kutumia nafsi ya kunijumlisha ndo siitaki, umeelewa? au nawewe umefukuzwa vyeti feki una mfadhaiko wa akili?Kama unaelewa maana ya kuwa objective pia maana ya ku personalize huwezi kushindwa kuona how objective the provided comment is.
Ila sasa kama nawe ni wale wenye vyeti vya kibashite bashite pole sana huwezi kuona hata ukatambikie.
Vichaa wapo CCMHahaaa wewe jamaa naona umevurugwa kweli ngoja nikuache kama ulivyo na uchiz wako, sitaki kubishana na kichaa kama wewe
Kama ni kweli unatokea Kolomoje wala hakuna haja ya kupoteza muda.Una ushahid we chiz au unaropoka tu hapa na njaa zako
Kama ni kweli unatokea Kolomoje wala hakuna haja ya kupoteza muda.Una ushahid we chiz au unaropoka tu hapa na njaa zako
Jibu swali mkuu wa mkoa anaruhusiwa kufoji? baba ako siku ile akiwa Ubungo alisema kuhusu watu(wanasiasa)walifoji vyeti na sheria za nchi zinasemaje kama siyo kuwa kwako na mkia butu kumemaliza akili zako?Nitajie wewe unayejua sifa za mkuu wako wa Mkoa., halafu rudi kwenye komenti yangu ya kwanza kama uliielewa, usibishane tu kuojionesha kwangu kuwa nawewe mwanaharakati UCHWARA.
Naomba nikupongeze kwa kazi nzuri na yenye mafanikio makubwa katika Mkoa wetu unajituma sana. Na taka nikuambie wakati fulani ili mambo yaende vyema ubabe ni muhimu na ukiwa ndani ya haki. Ombi langu kwako ni hili ili kuufanya mji wetu upendeze sauti yko ni muhimu sana. Piga marufuku watu wote hakuna kupita kwenye bustani za barabarani ama kufanya njia ya mkato. Ni amri ili tufanane na majiji mengine duniani äsante