Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Mkuu, Makonda pia slitoa agizo la kuhakiki silaha kwa jiji lake lakini badae likatangazwa kuwa la kitaifa. Hata kama unaona wivu lakini moyo utakusuta. Jamaa anafanya kazi kwa ubunifu sana.
 
Ukifanya kazi kwa bidii basi Bahati zitakuwa byingi kwako, haijalishi una umri gani...jamaa ni kijana tu...haijalishi umesoma wapi....jamaa kasoma muccobs...Makonda anapiga kazi sana na Mimi naamini akikaa hapo hapo kwenye ukuu wa mkoa itamfaa sana kuliko kumweka waziri
 
In short huyu ndiye atakayeachiwa kijiti na Magufuli 2025
 

Sishangai. Rekodi zinaonesha tunaongoza kwa kiwango cha unafiki duniani
 
Ivi ni ushoga tu vipi huyu dada anayevunja sheria ya mitandao na kuporomosha maadili ya mtanzania kwa kupiga pch za nusu utupu nakupost mtandaon gigy_money mkuu wa mkoa anasema nini juu ya uvunjifu huu wa sheria ya mtandao na kwanini hachukuliwi hatua yoyote je kunamtu anam'beba TSRA au paka jamii iharibike kabisa kwajili ya watu kama hawa badae ndiyo tuchukue hatua
 
Hivi omba omba Dar wameisha?, walimu wanapanda bure hasa mabasi ya mwendo Kasi?, hivi machangudoa wameisha?, hayo machache mengine muda utaongea
 
Hiyo Mkuu wa mkoa aluhudhuriaga white party...Ile sherehe atambue ilikuwa na vi-element vya ushogaaa

Ovaaa
 
Wewe mtoto muongo funga mdomo ntakuumbua sassa hivi
 
Kwani joti sio shoga?, mimi nilikuwa najuwa kuwa joti ni shoga ndiyo maana huwa siangalii TBC
 
Frankly speaking huwa dipendi joti anavo igiza kama mwanamke japo aki igiza kama mwanaume mimi ni shabiki wake namba moja, ananiboa sama anavo igiza kama mwanamke alaf eti na tigo nao wanakubali kumpa nafas ya mwanamke
 
Mkuu, Makonda pia slitoa agizo la kuhakiki silaha kwa jiji lake lakini badae likatangazwa kuwa la kitaifa. Hata kama unaona wivu lakini moyo utakusuta. Jamaa anafanya kazi kwa ubunifu sana.
Lakini ujambazi wa kutumia silaha umezidi kushamiri hapa nchini. Inategemea na hayo mambo yanatekelezeka kiasi gani. Ukitoa maagizo mazuri halafu ukashindwa kusimamia kama lile la walimu kupanda daladala bure, inakuwa nafuu usingetoa maagizo in the first place
 
Kinavhombeba makonda ni kuwa karibu na acces ya vyombo vya habari si kwamba wakuu wa wilaya wengine na mikoa hawafanyi kazi kwa umakini.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…