Kama la madawati vile Limeshindwa kabisa! watto wate wanakaa chini kwa sasa.MKOA HUU BWANA. SAFARII HII UMEPATA KIONGOZI MKALI KWERI KWERI narudia mkali kweRI kweRI . nakumbuka mdogo wangu mmoja anasema walikuwa na mwalimu mmoja WA NIDHAMU alikuwa anaitwa BOB MIKWARA alikuwa anatoka ofisini kwake anasimama assembly akiwa juu na wanafunzi wake chini anatoa matamko kwa sauti kali sana akitokwa na mate,jasho na mishipa ya kichwa kumsimama. halafu anarudi ofisini kwake anapiga selfie anarushia mtandaoni huku ameweka miguu juu ya meza ndo inakuwa imepita hiyo mpaka Jumatatu ijayo tena.
haya mawazo ya Wadau mbali mbali kuhusiana na Matamko mbali mbali yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa DSM.
.SIPINGANI NA MAKONDA KUHUSU MAAGIZO YA JANA Dar Es Salaam LAKINI NINA "VIJIWAZO VYANGU KIDOGO":
●Mkuu kasema watu wasiwafollow mashoga (facebook, instagram, tweeter n.k) na adhabu baada wiki itafuata, JE MBONA NYIE MNAGUSANA NAO NA PICHA MNAPIGA NAO? JIKAMATENI KWANZA!!!!!!
●Suala la kukataza uvutaji shisha na sigara uko sahihi mkuu, LAKINI MBONA UNATAFUTA "KIKI" KWENYE MAMBO MADOGO WAKATI NDUGU ZENU WANATESEKA NA MADAWA YA KULEVYA KILA UCHAO? KATI YA SHISHA, SIGARA NA COCAINE/HEROINE KIPI UNADHANI KINATEKETEZA NGUVU KAZI YA TAIFA?
■■Pamoja na nia yako njema chief Makonda hebu anza na mambo makubwa haswa hili la madawa ya kulevya maana inaaminika kuwa hilo #HALIGUSIKI
: MH MAKONDA:
■Umetenga maeneo ya kuvutia sigara (smoking zones) kama ilivyo ktk miji mingine mfano Nairobi Mombasa n.k?
■Vp suala la usafiri bure kwa walimu kwenye daladala liliishia wapi?
■Ishu ya ombaomba imeishia wapi?
■Madada poa je?
.A very interesting read. However, the writer builds his arguments on the assumption that one can be homosexual by nature; that one can harbour pure and uncorrupt feelings of affection towards members of his/her own sex. Therein lies the problem. It is still not clear what causes homosexuality, and consequently it is unclear whether homosexual desires can be pure!
wacha kuharibu fursa za watu akikamatwa utamlisha weye,? ni mlipa kodi kushinda hata siyee!
kwani we unajua kuna wangapi wenye maisha kama yangu hapa TanzaniaSiye au wewe
assume taifa zima likawa na mashoga ambao ni vijana na ni nguvu kazi ya taifa, unadhani ni nani ataendesha hivyo viwanda ,? hakuna dogo kwnye taifa , viwanda vitajengwa na marekebisho ya jamii pia ni jukumu la serikali , so siseme limeshupaliwa , discipline kwenye jamii ndio huleta maendeleo .Hivi watanzania tukikataza haya yote ndo viwanda vitajengwa?? Tunashupalia vitu vya kijinga ambayo havilipeleki taifa popote..
Serikali iache unafiki..
Mwaka jana wauguzi kutoka kanda zote walikusanyika kibaha kupewa semina jinsi ya kuwahudumia mashoga..kule walikutana nao..kuna ndugu yangu kutoka mkoani nae alikuja kwenye semina hiyo...serikali ilikuwa wapi hadi watumishi wao wanakutana kwa semina hii iliyofanyika kibaha na posho wamelipwa...
Wakati mwingine tunajadili ujinga tu ambao unasababishwa na ukurupukaji...
???...Makonda akitekeleza ushauri huu, na yeye hatakuwa hana akili.
Hivi ni % ya vijana ni mashoga??assume taifa zima likawa na mashoga ambao ni vijana na ni nguvu kazi ya taifa, unadhani ni nani ataendesha hivyo viwanda ,? hakuna dogo kwnye taifa , viwanda vitajengwa na marekebisho ya jamii pia ni jukumu la serikali , so siseme limeshupaliwa , discipline kwenye jamii ndio huleta maendeleo .