Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hoja za kijinga hizi. Ila Joti naye anapaswa kubadili aina ya uigizaji. Anawakwaza wengi akiwemo mleta mada
siku hizi unashinda mitandaoni ili na wewe uchaguliwe kama wenzako lakini wewe elimu yako ni form 4 pale mazengo laki unaweza pata bahati maana magu uchagua watu wasio na vision kama wewe jitahidi.

swissme
 
Ile ni sanaa kwan wanapromote ushoga ? Tofautisha sanaa na kufanya kitu real
 
Uyo joti si shoga kitamboo,kazoea kusukumwa nyama shenzi taipu.
 
Frankly speaking huwa dipendi joti anavo igiza kama mwanamke japo aki igiza kama mwanaume mimi ni shabiki wake namba moja, ananiboa sama anavo igiza kama mwanamke alaf eti na tigo nao wanakubali kumpa nafas ya mwanamke

Mbona unajichanganya...
 
Wivu mbaya sana, mwenzio akikuzidi maisha dawa yake na ww Fanya kazi kwa bidii sio majungu.
 
Apige marufuku tu na TV zote ibaki TBC tuwe na tunaangalia uzinduzi wa miradi na makongamano tu
 
Sawa nimekusikia ntalifanyia kazi ila tupo kwenye mchakato mwakani ntaunda tume.
 
...hoja ya kipuuzi kabisa!..halafu Makonda sio mtukufu na wewe hujazaliwa enzi za Mzizima!
...kujipendekeza kwa kumpamba mtu na kutaka kujipaisha kindezi ndo dalili za ussenge wenyewe sasa.
 
Mmmh! Kuna post inaeleza vyanzo vya ushoga kwaani kabla ya hawa kina joti ushoga ulikuwepo?je, baada ya joti na wengineo ni kweli ushoga umeongezeka?may be inaweza kusaidia but Nafikiri ngazi ya chini kabisa familia wazazi wawe mstari wa mbele kulinda watoto wao,misikiti makanisa,mashuleni na jamii kwa ujumla wahubiri juu ya hili swala now is too much asee!
 
Wavulana wadogo nowdays wanaingiliana wenyewe kwa wenyewe wanaona wap? Libabu jitu zima dushe limekomaa linamwingilia mvulana mdogo khaa! Dunia hii!
 
Muheshimiwa mtukufu, kijana hodari na mchapakazi Comredi Paul Makonda leo naongea wewe,

Nikiwa kama mkaazi na mzaliwa wa Jiji hili tangu likiitwa Mzizima napenda leo niungane na wewe kupiga vita vitendo vya ushoga na kupambana na element zote za ushoga, lakini nimebaini vita yetu hii imeshaferi kabla hatujainza, maana kila nikiwaangalia watoto zetu huku mtaani wanampenda sana Joti wa Ze Comedy, sasa shida inakuja kwa huyu Joti kuimudu vyema nafasi ya kuigiza kama shangingi la mjini lililokubuhu, sasa huoni hii vita yetu ya kupambana na ushoga tayari inakwamishwa na kina Joti?

Kwakuwa sina muda wa kukuletea hili ofisini lakini nimeona wewe ni active member wa hapa JF na utapita na kusoma uzi huu ili tujuwe tunamdhibiti vipi Joti kwanza ili kuokoa vijana wetu ambao wanamkubali sana?

Karibuni wadau tutafute ufumbuzi wa swala hili kwanza kwa maoni ni nini kifanyike?

Yaani wewe akili yako ni mgando hata hujui ulicho post maskini weeee,you need to go back to school my friend
 
Hoja za kijinga hizi. Ila Joti naye anapaswa kubadili aina ya uigizaji. Anawakwaza wengi akiwemo mleta mada
Sio hoja za kijinga watoto wote ni followers wa joti,wanaiga kila kitu mpaka huko kuigiza kama mwanamke...kidogo kidogo wataanza kufanya yooote ambayo wanawake hufanya.kwann aigize kama mwanamke?umewahi jiuliza hilo swali?inawezekana hata yeye mwenyewe hajui kuwa anatumiwa kuinject spirit ya ushoga kwenye jamii...hasa watoto.sio kila kitu cha kukosoa.hii sio siasa ni maisha halisi ya watoto wetu.unaboa sometimes kuingiza siasa kwenye kila kitu
 
Back
Top Bottom