reuben kombe
Member
- Jul 8, 2016
- 53
- 56
[emoji15]
Anaweza Mkuu hAkaifungia kwel Meza z wauza pweza kama kwel atachukua akil za nyumbu kuwaridhisha.ukasikia biashara ya pweza inachangia mimba zisizotarajiwaAta kuja mwingine tena "paul makonda piga marufuku uuzwaji wa supu ya pweza mtaani maana wanaume wa dar wanapenda kugegedana sana" jinga sana huyu.
..
Mbona hakuna mjadala hapa, Makonda alinyoosha maelezo kwamba lazima wanaDSM wakemee na kuzuia mambo ya watu kushikishana ukuta DSM. kisa ni kaoge a.k.a God kademu ambaye yeye mwenyewe hata kama akipata mtoto hataki aje kuwa bwabwa. Hapa bado watu hawaelewi kabisa kaka na dada wagombee bwana acha huko kwengine wao hamna sheeda.Lazima jamii iwakinge vijana wetu wasifike huko kitu ambacho Makonda hatakuja kuulizwa mbele.
First of all, the RC directive is beyond his legal powers. Nowhere does the Tanzania legal system empower the government to engage in anti-gay crusades.
On Sunday, 26 June 2016, Pope Francis said that Christians owe apologies to gays and others who have been offended or exploited by the church.
Governments, Christian Religions and Anti-gay Crusades in Tanzania: Pope Francis is right and Makonda is wrong
Heterosexual and homosexual is illegal in Tanzania .It is the duty of any government leader to engage in anti gay crusades to make sure that people abide to the law .You write as if that thing is legal in Tanzania!!