assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
matamko yazingatie sheria
Hapo kwa marehemu umenikumbusha huzuni kubwa iliyoikumba familia yake kutokana na kiherehere cha mwungwana muheshimiwa mtukufu sana kujifanya anajua sana kusingizia ili kupata misifaAnatafuta kuvunja rekodi ya kuwa RC mzigo kuliko wote nchi hii.
Laana ya marehemu Kabwe inamuandama huyo.
huyu jamaa anapenda sana sifa,wakati mwingine kabla ya kutoa matamko tafuta ushauri kwa wanasheria,wananchi, nk. kukimbilia kutoa matamko ya kumwendokasi unaxidisha mivutano badala ya kujenga.
I know una dhamira nzuri lakin umetumia approach mba
ya. Nan atakubali kukaguliwa kisa wewe umesema? je kisheria unamamlaka hayo au ni sifa?
tujifunze kusoma sheria za nchi
t
anakiherehereNdo mfumo mpya mkuu! Hivi lile swala la ombaomba ameshamalizana nao kwanza? sasa amehamia kwa watu binafsi, yaani ulete pua nyumbani kwangu unatafuta wasiokuwa na kazi maalum?! Nahisi huyu muungwana atakua hajafundwa wakati anakabidhiwa huo ukuu wa mkoa.
Wakati mwingine najiuliza hivi anafanya tathmini kabla ya kuongea au kwa kuwa hajui kitu anaamua kuongea chochote ili asipotee kwenye media?! Some time "actions speaks louder". Tatizo anajifanya kuwa yeye ni "master of the jungle" kila pori anajua. Hekima inahitajika sana kwenye uongozi, kiherehere kimechukua nafasi ya hekima kwa sasa!