Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

u could have summarized it khaaa
hizi copy & paste zinachosha
 
Wewe Mleta mada hii wewe ni shog....a ndomana unatetea unge....se,
Ujinga wako peleka huko huko kwako.....
 
I have previously--in a similar topic brought up on this platform some time in June 2016--characterized Mr. Makonda and the likes of Mr. Makonda as people who were not informed and, therefore, misguided in blindly condemning homosexuality.

Obviously, Mr. Makonda and others who espouse his views on homosexuality are stuck in the past just like how people in the Middle Ages held on to the myth that the Earth was flat for centuries! In Thomas Jefferson's book Notes on the State of Virginia (1784), Jefferson relates a series of official erroneous beliefs about nature forced upon people by authority, including the episode of Galileo's struggles with authority, which Jefferson erroneously frames in terms of the shape of the globe:

"Government is just as infallible too when it fixes systems in physics. Galileo was sent to the inquisition for affirming that the Earth was a sphere: the government had declared it to be as flat as a trencher, and Galileo was obliged to abjure his error. This error however at length prevailed, the Earth became a globe, and Descartes declared it was whirled round its axis by a vortex."
 
Heterosexual and homosexual is illegal in Tanzania .It is the duty of any government leader to engage in anti gay crusades to make sure that people abide to the law .You write as if that thing is legal in Tanzania!!

Wow!!! Really?
 
Mabadiliko ndo haya, watoto wanakaa Chini unawapatia Madawati. Sehemu ya kulipa Ada unaondoa. Unawapa Nafuu ya uchumi Wantania.

Haya ndo mabadiliko. Mabadiliko sio wa kiume kuoa mtoto wa kiume.
Matamshi kuntu!
 
Makonda ndio ametengeneza madawati? Madawati yametokana na kodi zetu Watanzania makonda hana mchango wowote kwa hilo
 
Makonda ndio ametengeneza madawati? Madawati yametokana na kodi zetu Watanzania makonda hana mchango wowote kwa hilo
kwani Tanzania kodi imeanza kulipwa juzi?? Kama imeanzwa kulipwa kwa muda mrefu Mbona hapakuwa na hamasa ya kutengeneza madawati kama hii??..Ila pongezi zinaenda kwake kwa ajili ya best organization ..... kuwa positive ndugu hata angekuja kiongozi ambae ulikua unamuhitaji angetumia tu kodi yako kukuletea maendeleo na bado ungeshangilia....sio kila kitu ni cha kukosoa.
 
Mwanangu hatosoma kayumba Mungu nisaidie wasingefuta tuisheni na kuuza visheti ningempeleka ha ha ha ha kejeli time
 
kwani Tanzania kodi imeanza kulipwa juzi?? Kama imeanzwa kulipwa kwa muda mrefu Mbona hapakuwa na hamasa ya kutengeneza madawati kama hii??..Ila pongezi zinaenda kwake kwa ajili ya best organization ..... kuwa positive ndugu hata angekuja kiongozi ambae ulikua unamuhitaji angetumia tu kodi yako kukuletea maendeleo na bado ungeshangilia....sio kila kitu ni cha kukosoa.
Pongezi ni kwa wananchi wa dar waliamua kuchagua ukawa ili kuongeza chachu ya maendeleo kwa watawala
 
Unajua wakati mwingine mambo ya aibu tuwe tunayaficha maana wakati nchi za kawaida tu kama Kenya Rwanda wana supply laptops na other sophisticated teaching aids sisi bado tunalumbana kuhusu madawati ya mbao amabazo zipo kila mahali nchini? kutokuwepo kwa madawati ya kutosha nchini ni umaskini wa akili zetu kufikiria! how comes wewe upo busy ku export magogo nje halafu watoto wanakaa chini?
 
Kweli ila vipi kodi tumeanza kulipa lei?? Tunavhopongeza ni usimamiz
Kodi ndio mpango mzima.Wapo waheshimiwa walifikiri kodi ni tusi kwao,miaka nenda miaka rudi walitegemea miujiza ya Tanzania kuigia kipato cha kati,bilakulipa kodi.
 
huyu jamaa anapenda sana sifa,wakati mwingine kabla ya kutoa matamko tafuta ushauri kwa wanasheria,wananchi, nk. kukimbilia kutoa matamko ya kumwendokasi unaxidisha mivutano badala ya kujenga.

I know una dhamira nzuri lakin umetumia approach mba
ya. Nan atakubali kukaguliwa kisa wewe umesema? je kisheria unamamlaka hayo au ni sifa?
tujifunze kusoma sheria za nchi

t
 
Ana haraka kama cha kwanza,kiherehere,macho juu utadhani haaminiki,hivi akiachiwa afanye apendalo tutafika wapi?poa lakini wenye mamlaka walishatangaza wanamwamini,,,,
 
Ana haraka kama cha kwanza,kiherehere,macho juu utadhani haaminiki,hivi akiachiwa afanye apendalo tutafika wapi?poa lakini wenye mamlaka walishatangaza wanamwamini,,,,
hahaha, imenibidi tu nicheke
 
Back
Top Bottom