Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hahaha.. Makonda kwa trust alokua amepewa atasababisha mkuu aanze kutilia wasiwasi uwezo wa vijana kiongozi. "Nitoke vipi kuonekana niko active" ndicho kimsumbuacho makonda. Matokeo yake anaharibu.. Kama komedian..
 
Makonda ameshaichoka hiyo kazi ya ukuu wa Mkoa,
Huwezi kuongea mashudu kama hayo alafu bado ukaendelea kuwa mkuu wa Mkoa.
Poleni sana wakazi wa Dar.
 
Faida juu ya hili...ni kubwa tujuane huyu ni nani na anafanya nini??!
 
Kwanza lazima ajue kuwa hata matukio ya ujambazi yanaratibiwa na watu wenye vitambulisho vya kazi za kueleweka na hata wafanya biashara wa kueleweka kabisa
 
Makonda alipangiwa Dar ili kukomoa UKAWA kwenye uongozi wa jiji lkn mwisho wa siku anakomoa ccm. Haya ndo madhara ya siasa za kukomoana badala ya mikakati.
 
Huyu jamaa sasa anagombanisha raia na serikali..!
 
Tuseme nikiwa jobless,wakaniletea hiyo form,nikajaza mimi ni managing director wa kampuni hewa,wanazo resource kweli za kufuatilia kujua kama nimewapa maelezo hewa?.
Hii miropoko mingine bana..
 
Back
Top Bottom