Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Wakuu mmesikia ile kashfa ya mmiliki wa mabasi ya DAR LUX alivyomtapeli mama mjane hati za Mali yenye thamani ya TZS 1.2 bilioni!na uyo mama kamwambia makonda na jamaa amemuagiza kamanda Mambosasa ahakikishe jamaa anakamatwa.
 
Uwaziri MKUU u amfaa sana ila aanze na wizara ya TAMISEMI kwanza halafu uwaziri MKUU.
 
Mkuu Mbinguni kwetu, naunga mkono hoja!.

Hata huu u RC wa DSM, yeye hakuomba, kuna watu walimuona anaweza na wakamuombea kazi. Angalia bandiko hili limepanda lini, kisha angalia Makonda aliteuliwa lini?.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Kama hii haitoshi, ni kweli 2020, atachukua jimbo, na kupewa wizara moja muhimu, na 2025, tumependekeza ndio yeye ampokee, soma bandiko hili.
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P.
 
hakika makonda ni rc bora TZ pia man of the last year.kaonesha ukakamavu wa uongozi kwa kuzishinda kashfa nzito nzito.he deserve the award!!
Andika kiswahili unajiaibisha. 'He deserves' siyo 'he deserve'
 
Ila huwa hafanikiwi..
Walim kupanda madaladala yetu bure.. fafafa[emoji196]
Madawa..fafafaa[emoji196]
Nahili la kuwasumbua wanasheria kukesha ofisini kwake pia fafafa. [emoji196]
Bashite dogo wa 0+[emoji38]
Mkurupukaji
 
Ivi cheti ameshatoa?
Hakuna mamlaka iliyowahi kumtaka atoe cheti! Japo utatusaidia kama ukitupa mkuu wa mkoa mmoja tu mwenye cheti aliyewahi kufanya hata robo tu ya Yale ambayo Makonda ameyafanya!!! Huwezi ukathubutu kumpoteza mchapakàzi na mbunifu kama Makonda kwa kigezo cha cheti wakati nafasi yake inataka mtu anayejua kusoma na kuandika tu!!!!
 
Wakuu mmesikia ile kashfa ya mmiliki wa mabasi ya DAR LUX alivyomtapeli mama mjane hati za Mali yenye thamani ya TZS 1.2 bilioni!na uyo mama kamwambia makonda na jamaa amemuagiza kamanda Mambosasa ahakikishe jamaa anakamatwa.
Unajua makonda anatafuta kk, mahakama ndio inatafsiri sheria akikamatwa lazima aende mahakamani, je? Anajua mahakama itahukumu nn?
 
Makonda na uwaziri Mkuu nini maoni yako!
Vipi huyo kiongozi kijana, anafaa Uwaziri Mkuu?
Anafaa, lakini kwa sababu tunataka ampokee Magu 2025, akipewa u waziri Mkuu, anakuwa hawezi tena kumpomkea Magu, unless na yeye afanye historia baada ya Mwalimu Nyerere ndiye waziri Mkuu pekee aliyeweza kuwa rais wa Tanzania. Baada ya Mwalimu, hakuna PM mwingine yoyote aliyekuja kuwa rais, hivyo Makonda achukue jimbo 2020, apewe wizara muhimu, 2025 ampokee Magu kama tuivyoshauri hapa

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze....
P.
​
 
Andika kiswahili unajiaibisha. 'He deserves' siyo 'he deserve'
mkiambia viroba vimepigwa marufuku bado mnakunywa haya endeleeni.mwishowe utamkosoa hadi babako.tatizo la watoto wa mika ya 2000 kujiunga jf.
 
Mkuu Pasko, dynamics za ursis is another animal altogether.
Makonda has earned respect ya utendaji in this short period.
Even Pres Magufuli who was once considered to be a poitical novice, had twenty years in the cabinet!
Naamini bado uwaziri mkuu kwa Makonda is a good supervised portfolio.
 
mkiambia viroba vimepigwa marufuku bado mnakunywa haya endeleeni.mwishowe utamkosoa hadi babako.tatizo la watoto wa mika ya 2000 kujiunga jf.
Mfate mwl wako wa kiingereza akukumbushe. He! Ni first personal pronounn singular hivyo inaendana na 's' kwenye main verb. Acha ubishi wa kijinga ndo mana hatuendeli hata tusichojua tunadhani tunajua
 
Mfate mwl wako wa kiingereza akukumbushe. He! Ni first personal pronounn singular hivyo inaendana na 's' kwenye main verb. Acha ubishi wa kijinga ndo mana hatuendeli hata tusichojua tunadhani tunajua
hzo ni nadharia tu mimi na wewe hatuna ushahidi ulothibitika.tangu lini he ikaendana na s? we ndo hujui karai kabisa wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…