Dada Oprah mbona umewasahau wahindi? Miaka ya ''90'' wengine walikuwa wanakuja Tanzania leo wanatengenezewa passport kesho yake, na kesho kutwa yake wanaondoka wanaingia UK. Hata lugha ya kiswahili hawajui.Mkuu wewe acha miaka ya mwanzo wa 90 Tanzania ilikuwa na heshima ulaya kama ilivyo Botswana kwa sasa hivi. Kila nchi unayokwenda wanakupa miezi sita unaingia ndani. Wa-Nigeria walituonea wivu sana. Ndipo wa-Nigeria, wa-Somali, wa-Nyarwanda wote wakapata passport zetu kwenda kujilipulia nazo. Thamani ilishuka tukapewa mkwara wa visa 1995.
mm namusoma tu ila nahusi hatuwez kuforce watu wote kuwa perfect, bt lazima huu moto uliowashwa usaidie vijana kama wenzetu wa Nigeria, kenya nk wanavyovushana! Wangefikilia hizi changamoto leo hii wasingekuwa mfano km tunavyowajadili....unavyoplan kufanya jambo lifanye ili matokeo uyaone mwenyewe sio kuendekeza fear of unknwnToo bad lakini ndio ubin-adam.
Serious anajoin jf kumuonya mtu ili asitoe rizki kwa mwenzake [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Hahahahahahaha There are all kinds of stupid people that annoy me but what annoys me most is a lazy argument. Mimi ni msomaji tu wa JF kama mgeni ,sina Id nyingine na kama ipo mods waifunge The wise are instructed by reason, average minds by experience, the stupid by necessity and the brute by instinct. Wema si lazima ufanyiwe mazuri hata kumwambia ukweli mtu ni wema pia izzo mimi nimemwambia ambacho wengi wenu mmeshindwa kusema japo ukweli mnaujuaWakuu huyu jamaa amejiunga jana(kwa lengo la kufanya hiki anachokifanya sasahivi), alafu amekuja humu na kuanza kumshambulia izzo , ok sio mbaya lakini anatakiwa atambue lengo hasa la hizi harakati,
Amekazania kustopisha watu wasisaidiane,
nadhani alichotakiwa kukisema ni kuzitaja hizo athari pamoja na kushauri au kupendekeza njia bora za kuendeleza hizi harakati ikiwa ni pamoja na kuziepuka hizo athari,
na sio ku-crush watu tu.
Mpaka sasa kwakutumia sixth sense nimeona huyu jamaa ni mtu maarufu tu humu jf na anaejulikana,
sasa ameona akija na Id yake watu watammind,
na pengine labda ni tapeli so anaumia roho kuona kuna mtu anasaidia watu bure pasipo kuwatoza hela kama alivyozoea yeye.
Bro haya ni maisha ya watu,
hivi ni vita vya damu na jasho,
Ukijaribu kuendelea kurudisha harakati nyuma tutakumind tu, kama unahisi upo against us basi rather leave us alone,
vinginevyo toa njia mbadala za kuepuka hizo changamoto, kama hauna shut Up.
Umeskia mgaka12 ?
Wewe unataka je labda! izzo lusungo Richard waache kusaidia watu?Hahahahahahaha There are all kinds of stupid people that annoy me but what annoys me most is a lazy argument. Mimi ni msomaji tu wa JF kama mgeni ,sina Id nyingine na kama ipo mods waifunge The wise are instructed by reason, average minds by experience, the stupid by necessity and the brute by instinct. Wema si lazima ufanyiwe mazuri hata kumwambia ukweli mtu ni wema pia izzo mimi nimemwambia ambacho wengi wenu mmeshindwa kusema japo ukweli mnaujua
Mkuu mm nimekaa kimya nasoma maoni yako lakini bado sijajua unamaana gani ebu eleza vizuri nini ambacho ww unadhani kwa nini nisitishe jambo nililo pln kulifanya?Hahahahahahaha There are all kinds of stupid people that annoy me but what annoys me most is a lazy argument. Mimi ni msomaji tu wa JF kama mgeni ,sina Id nyingine na kama ipo mods waifunge The wise are instructed by reason, average minds by experience, the stupid by necessity and the brute by instinct. Wema si lazima ufanyiwe mazuri hata kumwambia ukweli mtu ni wema pia izzo mimi nimemwambia ambacho wengi wenu mmeshindwa kusema japo ukweli mnaujua
Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania It is hard to imagine a more stupid or more dangerous way of making decisions than by putting those decisions in the hands of people who pay no price for being wrong.Wote waliokuja huku wametoka hapa jamaa alikuja na mipango mizuri sana but mwisho wa siku walimwita tapeli, lakini ukiwauliza walitapeliwa ni kina nani au wangapi hakuna jibu. The difference between stupidity and genius is that genius has its limits how can you trust mtu ambae umjui just umekutana nae JF with fake id unamkabidhi mtoto wa watu ? izzo think twice brother
Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania It is hard to imagine a more stupid or more dangerous way of making decisions than by putting those decisions in the hands of people who pay no price for being wrong.Wote waliokuja huku wametoka hapa jamaa alikuja na mipango mizuri sana but mwisho wa siku walimwita tapeli, lakini ukiwauliza walitapeliwa ni kina nani au wangapi hakuna jibu. The difference between stupidity and genius is that genius has its limits how can you trust mtu ambae umjui just umekutana nae JF with fake id unamkabidhi mtoto wa watu ? izzo think twice brother
Mkuu hata Mimi hapo nimeuliza hill swali ngojea tupate mrejeshomfanyakazi wa ndani anatakiwa jinsia gani?
Nilijua kuna watu wenye roho za hovyo sana watakuja kutaka mkuu izzo astop na hii thread itaonekana haina maana tena. Watu watatunga stori hata za uongo ilimradi aaminishe umma kuwa hatari inamnyemelea izzo.Naamini katika maisha hakuna mtu ambaye hajawahi kupata msaada hata wewe hapo inawezekana ulishawahi kusaidiwa japo hata Kalamu darasani ilipokugomea. Toa ushauri namna ya kuepusha unachoongelea na sio kunyima watu kupata misaada. Kaveli anatamani japo na yeye asome bachelor maana matokeo anayo tayari leo unakuja kumzibia riziki kwa hoja eti ukimsaidia mtu atakuja kukuaibisha au kukusababishia matatizo duuuh aiseeh umezingua kamanda.
Hivi mkuu kila anayepewa msaada lazima aje azingue baada ya kupata alichokuwa anakitafuta? Binadamu wote wangekuwa na mawazo kama yako hivi hata vilema Wajane au watoto yatima wangepata hifadhi?
Haujiulizi mbona kuna waafrika wanasoma kwa scholarship je wafadhili waliozitoa hawana akili? Wao hawaogopi kuaibika mwisho wa kuwasiadia watoto maskini wa afrika?
Kikubwa ungemwambia/mshauri izzo aset mazingira ya kuepusha haya uliyoyaeleza lakini sio kumwambia asimamishe kusaidia watu.
Huyu ana roho ya ajabu sijawahi kuonaWakuu huyu jamaa amejiunga jana(kwa lengo la kufanya hiki anachokifanya sasahivi), alafu amekuja humu na kuanza kumshambulia izzo , ok sio mbaya lakini anatakiwa atambue lengo hasa la hizi harakati,
Amekazania kustopisha watu wasisaidiane,
nadhani alichotakiwa kukisema ni kuzitaja hizo athari pamoja na kushauri au kupendekeza njia bora za kuendeleza hizi harakati ikiwa ni pamoja na kuziepuka hizo athari,
na sio ku-crush watu tu.
Mpaka sasa kwakutumia sixth sense nimeona huyu jamaa ni mtu maarufu tu humu jf na anaejulikana,
sasa ameona akija na Id yake watu watammind,
na pengine labda ni tapeli so anaumia roho kuona kuna mtu anasaidia watu bure pasipo kuwatoza hela kama alivyozoea yeye.
Bro haya ni maisha ya watu,
hivi ni vita vya damu na jasho,
Ukijaribu kuendelea kurudisha harakati nyuma tutakumind tu, kama unahisi upo against us basi rather leave us alone,
vinginevyo toa njia mbadala za kuepuka hizo changamoto, kama hauna shut Up.
Umeskia mgaka12 ?
The most effective way to destroy people is to deny and obliterate their own understanding of their history we need fact&proof not propaganda leta ushahidi kakutapeli shiling ngapi so kama ww unasema hajakutapeli unajuaje na wenzio wanaosema wametapeliwa ni kawa wewe tu? but today wewe unakuwa unamtangaza britanicca ni tapeli kumbe hajakutapeli hata shiling mia. But if thought corrupts language, language can also corrupt thoughtKwa hilo umekurupuka brother.
And if that is what make you shout I can justify. You're right 99% tumetoka kwenye huo uzi Daby ganja gal STUNTER tombstone cognition Dumelang na wengineo.
Nani alitufuata kuuliza tumetapeliwa nin tukashindwa kujibu? Ulimfuata nani inbox? mimi sikujui na haujawahi kuniuliza haya maswala. No one asked for proof. Kuna uzi alishaanzisha Dr. Adams faida alielezea kuhusu huo utapeli. Kwa taarifa zako mimi ndiye niliyewaambia wenzangu britanicca ni tapeli na chatting zangu na yeye zipo inbox japo sikumpa pesa yoyote wenzangu wawili ndiyo walitapeliwa ninaye mkumbuka ni Eng Mose.
Angalia, britanicca kampiga mtu pesa tarehe 16 January. Na tokea hiyo tarehe I'd yake haija login jf mpaka na leo. Kama britanicca yupo sasa hivi aje aseme hakuwaibia watu.
alitumia namba zaidi ya 5 kwa watu tofautitofauti na kila mtu anamwambia location tofauti mara yupo norway mara yupo dubai mimi alinambia yupo uganda. Sasa kusema tumeshindwa kusema tulichotapeliwa na britanicca na wakati hakuna aliyeulizia nakuona unaharibia watu fursa mzee.
Pia, haihitaji uwe CIA kushindwa kugundua britanicca katelelo na @dr RWEYENDERA ni mtu mmoja. Uzi wake ulikuwa mzuri and very useful to many of us. But his target was to fool us. Ukitaka uthibitisho sema .ila acha kuconclude fallacy bro.
Mkuu Izzo. Binafsi najitahidi kujua nia ya huyo bro. Ila bado niko gizani. Naendelea kusoma maoni yake. Ubinadamu ni mtihani kidogo.Mkuu mm nimekaa kimya nasoma maoni yako lakini bado sijajua unamaana gani ebu eleza vizuri nini ambacho ww unadhani kwa nini nisitishe jambo nililo pln kulifanya?