Wakuu huyu jamaa amejiunga jana(kwa lengo la kufanya hiki anachokifanya sasahivi), alafu amekuja humu na kuanza kumshambulia
izzo , ok sio mbaya lakini anatakiwa atambue lengo hasa la hizi harakati,
Amekazania kustopisha watu wasisaidiane,
nadhani alichotakiwa kukisema ni kuzitaja hizo athari pamoja na kushauri au kupendekeza njia bora za kuendeleza hizi harakati ikiwa ni pamoja na kuziepuka hizo athari,
na sio ku-crush watu tu.
Mpaka sasa kwakutumia sixth sense nimeona huyu jamaa ni mtu maarufu tu humu jf na anaejulikana,
sasa ameona akija na Id yake watu watammind,
na pengine labda ni tapeli so anaumia roho kuona kuna mtu anasaidia watu bure pasipo kuwatoza hela kama alivyozoea yeye.
Bro haya ni maisha ya watu,
hivi ni vita vya damu na jasho,
Ukijaribu kuendelea kurudisha harakati nyuma tutakumind tu, kama unahisi upo against us basi rather leave us alone,
vinginevyo toa njia mbadala za kuepuka hizo changamoto, kama hauna shut Up.
Umeskia
mgaka12 ?