Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

There are no facts, only interpretations. ukweli ndio unatakiwa na kama mnapenda izzo mwambieni ukweli Knowledge is power only if man knows what facts not to bother with
 
Wakati unaperuzi nyuzi za britanicca ulikuwa unatumia ID gani?
Na kipi kilichojufanya ufungue ID hii jana?
na kwanini upo interest sana na Ishu za diaspora?
Wee jamaa wewe ni nani kwa britanicca? Mbona umechukia sana tulivyomdiss britanicca kuliko alivyochukia yeye?
 
Tahadhari humu zishatolewa, tatizo lako ulikuja na hamaki sana kutaka kumwambia izzo aache, ungepata mida ukajisomea ungeona jinsi watu walivyotoa tahadhari na mkuu izzo analojua hilo.
 
Mkuu mm nimekaa kimya nasoma maoni yako lakini bado sijajua unamaana gani ebu eleza vizuri nini ambacho ww unadhani kwa nini nisitishe jambo nililo pln kulifanya?
Huyo jamaa anaroho mbaya tu, hawezi leta sababu za maana. Nilipi ambalo mkuu hatujaliongolea? Hizo tahadhari zote tumezigusa. Huyo anatakaje sasa?
 
ndugu vigezo kupata passport haulizw sababu ya kuitaji passport

tatzo wakiambiwa warete Cheti cha mzazi huwa tatzo lakini saiv wameboresha unareta nakala ya cheti cha mtu alie kuzidi miaka mitano kama mzamini mm nimepata passport na sasa nipo Limpopo south Africa
 
Tahadhari humu zishatolewa, tatizo lako ulikuja na hamaki sana kutaka kumwambia izzo aache, ungepata mida ukajisomea ungeona jinsi watu walivyotoa tahadhari na mkuu izzo analojua hilo.
Tahadhari without truth is like Stupidity combined with arrogance and a huge ego will get you a long way
 
The last one is your foolish mind
 
Nimesema niikuwa naperuzi JF kama mgeni no id pia nimesema kama nina id nyingne mods futa
 
South si huwa tunaruhusiwa kukaa week tatu kama skosei, sasa wewe umechukua permit ya kazi au ?
 
Reactions: Qj_
ukimpuuza mtu muda mwingine ina saidia kuliko kubishana nae maana atapata attention kam rais wa TLS
 
Wakuu tumpuuzeni tu,
tuendelee kujadili ishu za msingi, fanyeni kama hatumuoni vile
Hahahahahahahahah When you have the facts on your side, argue the facts. When you have the law on your side, argue the law. When you have neither, holler but izzo i know you have brain you can think and take action usifanye ujinga ambao utakuja kujuta daima watoto wa watu usiwafanye kama mbuzi unawapeleka kwenye mnada
 

Are you britanicca? That guy was the one who supposed to appeal on this and not you bro. Kama yupo aje hapa aseme sio tapeli na hajachukua usd 120 kwa Eng Mose.


1. Britanicca alinambia yupo Uganda
Akanipa namba +256755522898
Muda huo huo siku hiyo akamwambia Eng Mose yupo Dubai akampa +971523328490
Kuna mwingine akapewa hii 0755522898 alimwambia yupo bongo.
Sio hizi tu alitoa namba zaidi ya tano kwa watu tofauti tofauti.

Hizo namba last seen zake ni since 17. Jan na ndiyo siku aliyopiga pesa. Ukitaka kuhakikisha vingine njoo inbox acha kuharibia watu uzi kwa kutetea utapeli.

Ukitaka screenshot ya taarifa zingine nifuate inbox.
 
Duh
 
100% maana nimesoma previous comments zake ktk nyuz mbali mbali... nimeona hapa ndio uzi wa kwanza na comments 18 ni humu na 1 ni ktk uzi wa happy b... inaonesha amekuja maalum kwa ajiri ya uzi huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…