Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nilijua kuna watu wenye roho za hovyo sana watakuja kutaka mkuu izzo astop na hii thread itaonekana haina maana tena. Watu watatunga stori hata za uongo ilimradi aaminishe umma kuwa hatari inamnyemelea izzo.

Wewe umejiunga dkika tano, hujasoma uzi wote umeshafika 2k, leo unakuja kuparamia na kutaka jitihada hizi zisite. Toa ushauri mzuri basi nini kifanyike sio kutaka program isiendelee. Akili za roho za korosho
There are no facts, only interpretations. ukweli ndio unatakiwa na kama mnapenda izzo mwambieni ukweli Knowledge is power only if man knows what facts not to bother with
 
The most effective way to destroy people is to deny and obliterate their own understanding of their history we need fact&proof not propaganda leta ushahidi kakutapeli shiling ngapi so kama ww unasema hajakutapeli unajuaje na wenzio wanaosema wametapeliwa ni kawa wewe tu? but today wewe unakuwa unamtangaza britanicca ni tapeli kumbe hajakutapeli hata shiling mia. But if thought corrupts language, language can also corrupt thought
Wakati unaperuzi nyuzi za britanicca ulikuwa unatumia ID gani?
Na kipi kilichojufanya ufungue ID hii jana?
na kwanini upo interest sana na Ishu za diaspora?
Wee jamaa wewe ni nani kwa britanicca? Mbona umechukia sana tulivyomdiss britanicca kuliko alivyochukia yeye?
 
Hahahahahahaha There are all kinds of stupid people that annoy me but what annoys me most is a lazy argument. Mimi ni msomaji tu wa JF kama mgeni ,sina Id nyingine na kama ipo mods waifunge The wise are instructed by reason, average minds by experience, the stupid by necessity and the brute by instinct. Wema si lazima ufanyiwe mazuri hata kumwambia ukweli mtu ni wema pia izzo mimi nimemwambia ambacho wengi wenu mmeshindwa kusema japo ukweli mnaujua
Tahadhari humu zishatolewa, tatizo lako ulikuja na hamaki sana kutaka kumwambia izzo aache, ungepata mida ukajisomea ungeona jinsi watu walivyotoa tahadhari na mkuu izzo analojua hilo.
 
Mkuu mm nimekaa kimya nasoma maoni yako lakini bado sijajua unamaana gani ebu eleza vizuri nini ambacho ww unadhani kwa nini nisitishe jambo nililo pln kulifanya?
Huyo jamaa anaroho mbaya tu, hawezi leta sababu za maana. Nilipi ambalo mkuu hatujaliongolea? Hizo tahadhari zote tumezigusa. Huyo anatakaje sasa?
 
Nafikiri hatujaelewana... TZ kuna masharti na hatukatai yasiwepo... Hakuna nchi isiyo na masharti mkuu... Tunachoongelea hapa sababu za umiliki... Bila kuwa na sababu ya kwenda nje bongo hupati passport tofauti na wenzetu unaweza imiliki tu kama kitambulisho.
ndugu vigezo kupata passport haulizw sababu ya kuitaji passport

tatzo wakiambiwa warete Cheti cha mzazi huwa tatzo lakini saiv wameboresha unareta nakala ya cheti cha mtu alie kuzidi miaka mitano kama mzamini mm nimepata passport na sasa nipo Limpopo south Africa
 
Tahadhari humu zishatolewa, tatizo lako ulikuja na hamaki sana kutaka kumwambia izzo aache, ungepata mida ukajisomea ungeona jinsi watu walivyotoa tahadhari na mkuu izzo analojua hilo.
Tahadhari without truth is like Stupidity combined with arrogance and a huge ego will get you a long way
 
izzo I am patient with stupidity but not with those who are proud of it.Nitakuona mjinga sana kama utafanya hivyo kwa kuleta watoto wa watu wakati wewe your not here what if wangekuwa ndugu zako will you do that?? kumpa mtoto wako mtu uliyekutana nae online with fake id? trust me hawa wote wanakudanganya, they are not telling you truth.Three things cannot be long hidden: the sun, the moon, and the truth just ask them wanaweza kukabidhi wototo wao kwa mtu waliekutana nae online?
The last one is your foolish mind
 
Wakati unaperuzi nyuzi za britanicca ulikuwa unatumia ID gani?
Na kipi kilichojufanya ufungue ID hii jana?
na kwanini upo interest sana na Ishu za diaspora?
Wee jamaa wewe ni nani kwa britanicca? Mbona umechukia sana tulivyomdiss britanicca kuliko alivyochukia yeye?
Nimesema niikuwa naperuzi JF kama mgeni no id pia nimesema kama nina id nyingne mods futa
 
ndugu vigezo kupata passport haulizw sababu ya kuitaji passport

tatzo wakiambiwa warete Cheti cha mzazi huwa tatzo lakini saiv wameboresha unareta nakala ya cheti cha mtu alie kuzidi miaka mitano kama mzamini mm nimepata passport na sasa nipo Limpopo south Africa
South si huwa tunaruhusiwa kukaa week tatu kama skosei, sasa wewe umechukua permit ya kazi au ?
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Wakuu huyu jamaa amejiunga jana(kwa lengo la kufanya hiki anachokifanya sasahivi), alafu amekuja humu na kuanza kumshambulia izzo , ok sio mbaya lakini anatakiwa atambue lengo hasa la hizi harakati,
Amekazania kustopisha watu wasisaidiane,
nadhani alichotakiwa kukisema ni kuzitaja hizo athari pamoja na kushauri au kupendekeza njia bora za kuendeleza hizi harakati ikiwa ni pamoja na kuziepuka hizo athari,
na sio ku-crush watu tu.
Mpaka sasa kwakutumia sixth sense nimeona huyu jamaa ni mtu maarufu tu humu jf na anaejulikana,
sasa ameona akija na Id yake watu watammind,
na pengine labda ni tapeli so anaumia roho kuona kuna mtu anasaidia watu bure pasipo kuwatoza hela kama alivyozoea yeye.
Bro haya ni maisha ya watu,
hivi ni vita vya damu na jasho,
Ukijaribu kuendelea kurudisha harakati nyuma tutakumind tu, kama unahisi upo against us basi rather leave us alone,
vinginevyo toa njia mbadala za kuepuka hizo changamoto, kama hauna shut Up.
Umeskia mgaka12 ?
ukimpuuza mtu muda mwingine ina saidia kuliko kubishana nae maana atapata attention kam rais wa TLS
 
Wakuu tumpuuzeni tu,
tuendelee kujadili ishu za msingi, fanyeni kama hatumuoni vile
Hahahahahahahahah When you have the facts on your side, argue the facts. When you have the law on your side, argue the law. When you have neither, holler but izzo i know you have brain you can think and take action usifanye ujinga ambao utakuja kujuta daima watoto wa watu usiwafanye kama mbuzi unawapeleka kwenye mnada
 
The most effective way to destroy people is to deny and obliterate their own understanding of their history we need fact&proof not propaganda leta ushahidi kakutapeli shiling ngapi so kama ww unasema hajakutapeli unajuaje na wenzio wanaosema wametapeliwa ni kawa wewe tu? but today wewe unakuwa unamtangaza britanicca ni tapeli kumbe hajakutapeli hata shiling mia. But if thought corrupts language, language can also corrupt thought

Are you britanicca? That guy was the one who supposed to appeal on this and not you bro. Kama yupo aje hapa aseme sio tapeli na hajachukua usd 120 kwa Eng Mose.

1. Britanicca alinambia yupo Uganda
Akanipa namba +256755522898
Muda huo huo siku hiyo akamwambia Eng Mose yupo Dubai akampa +971523328490
Kuna mwingine akapewa hii 0755522898 alimwambia yupo bongo.
Sio hizi tu alitoa namba zaidi ya tano kwa watu tofauti tofauti.

Hizo namba last seen zake ni since 17. Jan na ndiyo siku aliyopiga pesa. Ukitaka kuhakikisha vingine njoo inbox acha kuharibia watu uzi kwa kutetea utapeli.

Ukitaka screenshot ya taarifa zingine nifuate inbox.
 
Hahahahahahahahah When you have the facts on your side, argue the facts. When you have the law on your side, argue the law. When you have neither, holler but izzo i know you have brain you can think and take action usifanye ujinga ambao utakuja kujuta daima watoto wa watu usiwafanye kama mbuzi unawapeleka kwenye mnada
Duh
 
Daby Huyu jamaa mbona kama ni britanicca ? Hebu ona anavyolalamika kuhusu ule uzi,
mi nilidhani anamtahadharisha izzo kwa kutokana na mambo aliyoyapitia au labda alishawahi kumsaidia mtu mwishini akageukwa, kumbe refference yake ni Uzi wa katelelo?
Inamaana uzi wa katelelo unamuumiza roho?
Inamaana tulivyomshutumu britanica kwamba ni tapeli basi jamaa ndo kapanic?
Yeye kama nani mpaka aumie namna hiyo??
Daby umepata picha sijui?
Mimi nilishasema katika post yangu hapo juu, huyu jaamaa ni maarufu humu na amefungua ID hii kwaajili ya jambo hili tu, na ameogopa kuja na ID yake tulioizoea watu watammaindi hahaha
100% maana nimesoma previous comments zake ktk nyuz mbali mbali... nimeona hapa ndio uzi wa kwanza na comments 18 ni humu na 1 ni ktk uzi wa happy b... inaonesha amekuja maalum kwa ajiri ya uzi huu...
 
Back
Top Bottom