Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Watu wanamna hii huwa hawafiki kokote na mwisho wake kuangikia pua maana anaroho mbayaa utazani mkaanga sumu.
 

Saidy Hamidu pia mkuu usinisahau
 
Ya nanny naomba mm jmn nna passport kubwa na kingereza najua pia nna hofu na Mungu
 
Brittanica unataka upewe wewe u host ,,unashida gan mkuu alaf uliambiwa hao watakao host watapewa wageni kama njugu mawe au kuna tararibu ,,,,hatapeliwi mtu apa ulizopiga hazijakutosha
 
100% maana nimesoma previous comments zake ktk nyuz mbali mbali... nimeona hapa ndio uzi wa kwanza na comments 18 ni humu na 1 ni ktk uzi wa happy b... inaonesha amekuja maalum kwa ajiri ya uzi huu...
Hahaha, huyu jamaa akipata ministry of foreign affairs kwa magu hali itakua mbaya sana nadhani hata permit tutanyimwa kwa 7bu ya hisia tu
 
Hataki twende Malta mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
jamani huyu jamaa hafai, ana roho mbaya hapendi wenzake wafanikiwe, Mimi navojua kila anaefuatilia uzi huu ana ndoto ya kwenda juu ndo maana anafuatilia uzi huu kwa makini ili apate njia ya kufanikisha ndoto yake, Sasa jiulize akipata njia anaweza kuiharibu ?? wakati ndo itakayomfikisha kwny ndoto yake ?????
 
Mbali na shida zote lkn wayahudi hatimae wakafika nchi ya ahadi, hizi ziwe tu km changamoto mkuu
 
Vijana washindwe wenyewe manake wanafundishwa hata namna yakumtokea Mtoto wa kizungu
Hahaha washinde wenyewe tu mi hapa nilipo nimmewakusanya na wote wanaamini nawapenda kikubwa ni kujari tu maana ninapochati nao huku ikiwa usiku kule kwao ni mchana na ninapowaaga nilale wote kwa pamoja nawaaga nalala muda ninaoamka ndio muda wanaolala basi hua nawahi kuwasiliana nao asubuhi yangu ili usiku wao uwe mzuri na kuwalaza unono basi wananogewa
 
Aiseeeeh ulimdaka vizuri huyo dada
 
Da huyu jamaa m sina uwezo i wish ningemtegea mtego nimkamate!! Ila si bado yupo na ID yake mpya ntapata namna tu....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…