Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Watu wanamna hii huwa hawafiki kokote na mwisho wake kuangikia pua maana anaroho mbayaa utazani mkaanga sumu.
 
Wakuu huyu jamaa ni britanicca ndiye Dr. RWEYENDERA ndiye katelelo pia ndiye Kevin issaya aliyetapeli watu kwenye uzi wake wa kuingiza bidhaa kutoka Europe kwa taarifa zaidi kesho nitaanzisha uzi kwa ajili yake maana kashanikera.

Nitatoa uthibitisho wa kutosha nkishindwa nipo radhi kubeba mzigo.

Asanteni ndugu zangu kesho nitawatag hasa mliopo humu ili mmjue vizuri.
lusungo
izzo
STUNTER
cognition i
ganja gal
Richard
Tombstone Piledrive
Eng Mose
Qj_
dangadunguri
meney9
Prishaz

Saidy Hamidu pia mkuu usinisahau
 
Jamani kuna kazi ya udereva Auckland, New Zealand. Salary $540-653 a week. lazima ujue sheria za barabarani kwa maana hapa kuna madereva na waendesha magari anayetakiwa ni dereva si mwendesha magari pia uwe na passport kubwa pia anatakiwa mfanyakazi wa ndani (Nanny) ujue English na pia mwenye hofu na Mungu
Ya nanny naomba mm jmn nna passport kubwa na kingereza najua pia nna hofu na Mungu
 
Brittanica unataka upewe wewe u host ,,unashida gan mkuu alaf uliambiwa hao watakao host watapewa wageni kama njugu mawe au kuna tararibu ,,,,hatapeliwi mtu apa ulizopiga hazijakutosha
 
100% maana nimesoma previous comments zake ktk nyuz mbali mbali... nimeona hapa ndio uzi wa kwanza na comments 18 ni humu na 1 ni ktk uzi wa happy b... inaonesha amekuja maalum kwa ajiri ya uzi huu...
Hahaha, huyu jamaa akipata ministry of foreign affairs kwa magu hali itakua mbaya sana nadhani hata permit tutanyimwa kwa 7bu ya hisia tu
 
Mimi nimebaki tu nacheka, asamehewe bure jamani. Kuna watu wana roho za hivyo, hawezi saidia mtu na akiona mtu anasaidiwa anaumia! Huyu ni mwenyeji sana tu, na atakuwa alikuwepo humu toka mnakasha unaanza ila kaona afungue ID nyingine ili asitambulike. Nimemshangaa kiasi ila anafurahisha pia.
Hataki twende Malta mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahahahahahaha There are all kinds of stupid people that annoy me but what annoys me most is a lazy argument. Mimi ni msomaji tu wa JF kama mgeni ,sina Id nyingine na kama ipo mods waifunge The wise are instructed by reason, average minds by experience, the stupid by necessity and the brute by instinct. Wema si lazima ufanyiwe mazuri hata kumwambia ukweli mtu ni wema pia izzo mimi nimemwambia ambacho wengi wenu mmeshindwa kusema japo ukweli mnaujua
jamani huyu jamaa hafai, ana roho mbaya hapendi wenzake wafanikiwe, Mimi navojua kila anaefuatilia uzi huu ana ndoto ya kwenda juu ndo maana anafuatilia uzi huu kwa makini ili apate njia ya kufanikisha ndoto yake, Sasa jiulize akipata njia anaweza kuiharibu ?? wakati ndo itakayomfikisha kwny ndoto yake ?????
 
Mkuu [HASHTAG]#Daby[/HASHTAG] mpaka sasa nahisi huyu mgaka12 ndiyo britanicca kwa maana hana hoja yenye mashiko juu ya lile alitakalo eti watu wasisaidiwe mi naona hakukuwa na maana yoyote ya kuweka vizuizi bila kutoa sababu zenye kuingia akilini mwetu ili jamaa asitusaidie.
Kitu kingine hii ni nguvu ya watu wengi na wenye malengo dhabiti juu ya hili lipo mbele yetu ili mradi kundi la watu kadhaa lifanikiwe naamini na wengine tutafuaata.
Mkuu mgaka12 wewe ni binadamu na we pia unamapungufu yako hivyo kwa namna moja ama nyingine upo sahihi.
Watu kama nyinyi kwenye jamii lazima muwepo ili kuleta changamoto kwa watu ili wafeli mipango yao ama muwazidishie speed.
Tangu uzi uanze niliamini tu kuna mtu au watu watakuja kuweka magogo kwenye uzi huu ili mambo wayavuruge lakini naamini hii team iliyopo ni watu wenye misimamo.
Mkuu [HASHTAG]#izzo[/HASHTAG] mpaka kuamua kuja kutoa msaada kwa ndugu zake najua kuna mazingira ambayo anayaandaa kwanza mpaka sasa kama ulikuwa hujui kuna watu wanapigwa michujo wapatikane watu wanaostahili hili swala izzo kashalizungumzia.

Mwisho mkuu naomba utuache tupambane kwa hili lililopo kama ingependeza ungetoa maoni ya kusapoti na siyo ulivyokuja umefura kuweka vingingi.
Kuna wengine tumejifunza vitu vingi na tupo kwenye hatua nzuri ya kwenda kufanikisha hivyo basi tunakuomba sana utuachie hili swala kwa maana umelikutia katikati hujui watu wametumia nguvu gani mpaka kulifikisha hapa.
Ndugu zangu naombeno tuendelee kushikamana mtu mmoja asituangushe lazima tufanikishe.
Mbali na shida zote lkn wayahudi hatimae wakafika nchi ya ahadi, hizi ziwe tu km changamoto mkuu
 
Vijana washindwe wenyewe manake wanafundishwa hata namna yakumtokea Mtoto wa kizungu
Hahaha washinde wenyewe tu mi hapa nilipo nimmewakusanya na wote wanaamini nawapenda kikubwa ni kujari tu maana ninapochati nao huku ikiwa usiku kule kwao ni mchana na ninapowaaga nilale wote kwa pamoja nawaaga nalala muda ninaoamka ndio muda wanaolala basi hua nawahi kuwasiliana nao asubuhi yangu ili usiku wao uwe mzuri na kuwalaza unono basi wananogewa
 
Hivi kwanini huwa wanapenda sana kuuliza maswali kama hayo maana hata mimi waliniuliza nikwawambia kunamchongo nimeitiwa na brother U.K kumbe lengo niwe na pasport yangu tu.
Dada mmoja akaanza kunirembulia akizani nitamuomba namba wakati mimi nilitaka pasport niende tu botswana hapo jilani na safari yenyewe November.
Aiseeeeh ulimdaka vizuri huyo dada
 
Da huyu jamaa m sina uwezo i wish ningemtegea mtego nimkamate!! Ila si bado yupo na ID yake mpya ntapata namna tu....!!
 
Back
Top Bottom