Kuhusu wanaouliza kazi za NZ hasa za Udereva na Nanny
Nanny anaitajika ni mwanamke au msichana
Dereva ni wakiume au mwanaume
Tangazo hili la kazi limetumwa kwenye Group la Whats app lililosema juzi so mnaweza kuwasiliana na muhusika mwenyewe
Kwa facebook ni Arabella Walsh
kwa email ni
walsharabella@gmail.com
Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe
Kuhusu hoja za
mgaka12 nazifatilia kujiridhisha na anachosema kwani si kila kitu alichosema ni chakupuuza
yapo mengine aliyoongea yanamaana sana
Ukiwasiliana naye sema unatokea Tanzania East Africa kwani kuna wengine hawajui Tanzania inapatikana wapi
anzeni kwenye Facebook account yake